Airtel na Airtel Money, Badilikeni

Airtel na Airtel Money, Badilikeni

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
28,749
Reaction score
91,827
Hii Huduma ya Wateja kurudusha Muamala , Inaniumiza sana Kama WAKALA .

MTEJA anakuja ,anatoa kiasi fulani cha Pesa, Unasoma meseji vzuri, unaangalia Salio lako limeongezeka vizuri tu.

Unaamua kumpa PESA ( Cash) .

Unaendelea na majukumu mengine .

Baada ya Muda, Unakuja kuangalia , Salio limepungua kiasi kile kile ulichokituma kwa Mteja yule.

MTEJA BAADA YA MUDA, ALIWAPIGIA SIMU KUA KAKOSEA KUTOA HELA, KATOA HELA KIMAKOSA KWAMBA KAINGIZA CODE ALIZOKOSEA.

NANYIE MLIVYO WAPUMBAVU, MNASHINDWA KUWASILIANA NA WAKALA KWANZA, MNAAMUA KUCHOTA KIASI CHA PESA KWA WAKAL, KUMRUDISHIA MTEJA AMBAYE TAYARI KESHAONDOKA NA PESA .

Huu upuuzi weni, wajinga nyinyi ukome mara moja , shenzi kabisa , mnadhani Pesa inaokotwa ???

Manyoko zenu ,pumbavu kabisa... alafu mnatafutwa ,mnaanza habari za ngoja nitaisitisha , ILI HALI MTEJA MWIZI KESHAIHAMISHIA LAINI NYINGINE NA HAPATIKANI TENA??

SASA BASI...

Muache Upumbavu , Miamala ya wateja kutoka au kwenda kwa wakala inayorudishwa kama imekosewa, MUITHIBITISHE KWANZA KUTOKA KWA WAKALA ,KWA SIMU YA MOJA KWA MOJA.
 
Screenshot_20210905-080819_Chrome.jpg
 
Mmh hizi biashara za pesa kichefuchefu kweli ,,,yani mtandao husika wanafanya uhuni km huo dah asee inasikitisha sana ,ivi wanajua pesa ilivo ngumu uku mtaani..halafu bado umechukua jukumu la kusimama kam wakal wao tena kwa pesa zako mwenyewe umeweka ofisi vizuri kwa gharama zako wao kumiliki system tu ndio iwe shida arggg shenzi kabisa,bado wakuibie kamisheni bado washirikiane na mteja kukuibia sasa ni mambo gani tunafanyiana haya...yani kiukweli mi nimeumia sana ndugu yangu km mm nimefanyiwa uhuni huo..
 
Mkuu kuibiwa inauma sana aiseee, inarudisha nyuma mnoo.

Alafu ni hivi vijamaa vyao wanavyoviajiri ovyoovyo, uwezo wa kichwan mdogo sanaa

Ivi mteja anakupigia simu kua kakosea kutoa pesa, nawewe unashindwa kweli kumpigia wakala ujithibitishie????.

Yaan mtu anaondoka na laki tano usheee, nabado anarudishiwa Pesa .

Hili kosa la nani kama sio wao Airtel???
 
Hii iliishaje??

Mkuuu Kijana wangu amepigwa Laki Tano na Ishirini yaani.

wiki kadhaa nyuma Jamaa wa pemben, amepigwa 1.2M

Alafu hawa wajinga nawapigia wananipa uswahili mwingi
Halafu pia uwa nawaza aliyebuni hii system ya kurudisha muamala wewe mwenyewe nahisi kuna vitu vya ziada vinatakiwa kuongezwa isiwe rahisi rahisi tu mtu anaingia anarudisha muamala...hili liubunifu la kishamba tu naona ...bora hata ile ya zamani kidgo upige sim customer care ,,aggrr upumbavu mkubwa huu wa kurudisha muamala hapo hapo...
 
Angalau ukipiga Tigo wako chapu kwa haraka kurudisha muamala ila mitandao mingine “Asante kwa kupiga simu Airtel Money muhudumu wetu atakuhudumia hivi punde “utasubiri mpaka pesa kama umetuma kimakosa inatolewa.
 
Mkuu kuibiwa inauma sana aiseee, inarudisha nyuma mnoo.

Alafu ni hivi vijamaa vyao wanavyoviajiri ovyoovyo, uwezo wa kichwan mdogo sanaa

Ivi mteja anakupigia simu kua kakosea kutoa pesa, nawewe unashindwa kweli kumpigia wakala ujithibitishie????.

Yaan mtu anaondoka na laki tano usheee, nabado anarudishiwa Pesa .

Hili kosa la nani kama sio wao Airtel???
KOSA ni lao kabisa wanaruhusu vipi muamala kurudishwa kwa mteja wakti wanajua mimi ni wakal wao kwann wasiwasiliane nami ili kujirishisha kwanza ndipo waruhusu wao wanakurupuka tu kurudisha huu ujinga sana tena san...pumbavu zao...wananikera sana mm yani....
 
Ndio hili nalolipigia kelele, wao walipaswa kuongea na wakala kwanza, ndio waruhusu huo muamala kurudi

Inamaana Hasara hapa ni kwa wakala.

Je hii ni haki kweli??
 
Angalau ukipiga Tigo wako chapu kwa haraka kurudisha muamala ila mitandao mingine “Asante kwa kupiga simu Airtel Money muhudumu wetu atakuhudumia hivi punde “utasubiri mpaka pesa kama umetuma kimakosa inatolewa.
Na kuwapata ni kazi sana.
 
Halafu pia uwa nawaza aliyebuni hii system ya kurudisha muamala wewe mwenyewe nahisi kuna vitu vya ziada vinatakiwa kuongezwa isiwe rahisi rahisi tu mtu anaingia anarudisha muamala...hili liubunifu la kishamba tu naona ...bora hata ile ya zamani kidgo upige sim customer care ,,aggrr upumbavu mkubwa huu wa kurudisha muamala hapo hapo...
Au basi kama aliona ni ubunifu, hiyo iwe ni kwa Mtumiaji kwenda kwa mtumiaji mwenzake.

Sio Mtumiaji kwenda Wakala .
 
Ndio hili nalolipigia kelele, wao walipaswa kuongea na wakala kwanza, ndio waruhusu huo muamala kurudi

Inamaana Hasara hapa ni kwa wakala.

Je hii ni haki kweli??
Kwa mtazamo wangu nilidhani aliyebuni hii system angeweka kipengele cha ku withhold hicho kiasi endapo mtu atataka kuirudisha pesa,,mpka pande mbili zote aliyetuma na aliyepokea kujiridhisha thabiti kma muamala ulikosewa isiwe rahisi rahisi tu li mtu linaingia kwenye menu ya kurudisha muamala hapo hapo wanarudisha,,,huu upumbavu waufikirie mara mbili mm naona ni upumbavu kuruhusu mteja arudishe muamala hapo.
 
Nikweli kabisa, ilitakiwa katikati hapo pawepo na "Kujiridhisha"
 
Hii Huduma ya Wateja kurudusha Muamala , Inaniumiza sana Kama WAKALA .

MTEJA anakuja ,anatoa kiasi fulani cha Pesa, Unasoma meseji vzuri, unaangalia Salio lako limeongezeka vizuri tu.

Unaamua kumpa PESA ( Cash) .

Unaendelea na majukumu mengine .

Baada ya Muda, Unakuja kuangalia , Salio limepungua kiasi kile kile ulichokituma kwa Mteja yule.

MTEJA BAADA YA MUDA, ALIWAPIGIA SIMU KUA KAKOSEA KUTOA HELA, KATOA HELA KIMAKOSA KWAMBA KAINGIZA CODE ALIZOKOSEA.

NANYIE MLIVYO WAPUMBAVU, MNASHINDWA KUWASILIANA NA WAKALA KWANZA, MNAAMUA KUCHOTA KIASI CHA PESA KWA WAKAL, KUMRUDISHIA MTEJA AMBAYE TAYARI KESHAONDOKA NA PESA .

Huu upuuzi weni, wajinga nyinyi ukome mara moja , shenzi kabisa , mnadhani Pesa inaokotwa ???

Manyoko zenu ,pumbavu kabisa... alafu mnatafutwa ,mnaanza habari za ngoja nitaisitisha , ILI HALI MTEJA MWIZI KESHAIHAMISHIA LAINI NYINGINE NA HAPATIKANI TENA??

SASA BASI...

Muache Upumbavu , Miamala ya wateja kutoka au kwenda kwa wakala inayorudishwa kama imekosewa, MUITHIBITISHE KWANZA KUTOKA KWA WAKALA ,KWA SIMU YA MOJA KWA MOJA.
Kuna wakati unaingiza pesa halafu wanakata unakuta pungufu sometimes unatumiwa sms ya kuwa huna salio la kutosha kufanya muamala fulani wakati huo hujafanya muamala wowote inaonekana data base zao za hovyo zinaingilika kiurahisi mno.
 
Halafu pia uwa nawaza aliyebuni hii system ya kurudisha muamala wewe mwenyewe nahisi kuna vitu vya ziada vinatakiwa kuongezwa isiwe rahisi rahisi tu mtu anaingia anarudisha muamala...hili liubunifu la kishamba tu naona ...bora hata ile ya zamani kidgo upige sim customer care ,,aggrr upumbavu mkubwa huu wa kurudisha muamala hapo hapo...
... kurudisha kutoka namba ya kawaida shortly after transaction haina tatizo sana. Tatizo ni kurudisha kutoka kwa wakala (ambaye tayari alishakukabidhi cash) au namba za "lipa hapa kwa ..." (umeshakabidhiwa mali/huduma hapo ndipo walichemka.
 
Mmh hizi biashara za pesa kichefuchefu kweli ,,,yani mtandao husika wanafanya uhuni km huo dah asee inasikitisha sana ,ivi wanajua pesa ilivo ngumu uku mtaani..halafu bado umechukua jukumu la kusimama kam wakal wao tena kwa pesa zako mwenyewe umeweka ofisi vizuri kwa gharama zako wao kumiliki system tu ndio iwe shida arggg shenzi kabisa,bado wakuibie kamisheni bado washirikiane na mteja kukuibia sasa ni mambo gani tunafanyiana haya...yani kiukweli mi nimeumia sana ndugu yangu km mm nimefanyiwa uhuni huo..
Jamaa liongo, pesa ikirudi kwa mteja hawezi kuitumia hadi wakala apigiwe athibitishe. ukiona hivyo kapigiwa wiki nzima hapokei huyo
 
Back
Top Bottom