Airtel mwatuchanganya sie wateja wenu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Airtel mwatuchanganya sie wateja wenu

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Jethro, Jan 8, 2011.

 1. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #1
  Jan 8, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Wana JF,

  Naleta hii hoja kwenu, kwani tokea kampuni hii mya ya simu kuendeleza biasha ya Zantel ndio wametuchanganya zaidi kwanini nasema haya:

  1: Wana offer yao ya bonyeza SMS 5 ili upate 100 SMS za bure na huku tena wameruhusu tena offer ya Jiachie (15353) ambazo ni sawa na hapo tofauti ni makato ya pesa kutokana na hizo SMS.na SMS mmoja ni Tsh 59.

  2: Mtu ukimpigia simu kwenda Mtandao wowote na ukimaliza kuongea huja ujumbe kukueleza kuwa umetumia shilling kiasi fulani kwa muda ulio ongea sasa cha kushangaza mtu akikupigia simu toka kutoka mitatandao yote pia ati ujumbe huwa unakuja na unakuambia ati umetumia kiasi cha shilling fulani kuongea sasa najiuliza mimi nimepigiwa na mtu awe ni airtel au voda,togo still huo ujumbe waja kwanini inamaana inanikata pesa yangu???

  Twaomba hili shirika la AIRTEL kujirekebisha kwa hayo mapungufu yao ZANTEL hakukua na hayo matatizo na hatukuona haja ya AIRTEL kubadilisha huo mfumo ni bali walitakiwa kuboresha na kuongeza offer kama wanuwezo na sio kutuonyesha utaaramu uliopinda pinda na kutuchukulia pesa zetu
   
 2. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #2
  Jan 9, 2011
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,283
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  mimi ni mteja mzuri wa airtel na tangu waanze kutoa huduma ya kuonyesha kiasi cha pesa ulichotumia kupiga simu watu wengi sana wamefurahishwa na hilo na kuwapongeza,
  pili sijawahi kuona hata siku moja ujumbe wa kuonyesha gharama za simu niliyopigiwa tangu huduma hiyo ianze, nahisi wewe umejichanganya
   
 3. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #3
  Jan 9, 2011
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,584
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Mbona Mkuu unazungumza mara Airtel mara Zantel - hizo ni kampuni mbili tofauti kabisa. Pengine ulitaka kumaanisha Celtel badala ya Zantel.
   
 4. TATIANA

  TATIANA JF-Expert Member

  #4
  Jan 9, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 4,103
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  mimi pia ilishatokea hiyo na si mara moja au mbili,mtoa hoja hajajichanganya hapa.
   
 5. Pipiro

  Pipiro JF-Expert Member

  #5
  Jan 9, 2011
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 307
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Ni kweli kabisa jamaa anachoogea.. Labda lengo lao ni kukuonyesha kiasi gani kimetumika kwa ile simu ilipokuwa hewani na si kwamba hiyo hela imekatwa toka kwako. Ila ni jambo ambalo Airtel wanatakiwa kuliweka sawa maana wateja wengine wanaweza kushindwa kuelewa na ku-reason vizuri. Ila jamaa wanajitahidi so far.
   
 6. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #6
  Jan 9, 2011
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,283
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  duuuu itabidi nami nifuatile nione otherwise, huko ni kwamba airtel wanachemsha kwenye hiyo technology
   
 7. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #7
  Jan 9, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Mambo ya TeknoHama hayo,twendeni 2 sa 2tafanyaje?mbona unaweza ukapima mzgo kwenye mzan wa kibaha,halaf ukifika MIKESE-MORO unaambiwa umezdsha uzto,
   
Loading...