Airtel msinipigie simu tena nitawashitaki

Airtel msinipigie simu tena nitawashitaki

Mambo ya ki-mbwa haya.., huwa wananikera sana.., mi najua mambo ya maana kumbe ni mambo ya kishamba.., eti mlio wa anaekupigia asikie..., stupid..!
 
si afadhali hata wewe ilikuwa mchana, mi kuna kipindi walifululiza kunipigia usiku tena muda uleule, halafu mtu umelala na ubavu wako, mwisho wake inakuwa kuanzisha ugomvi usio wa lazima maana mi nilikuwa napokea nikisikia ni wao nakata bila kuongea chochote, sasa mtu anaweza kudhani hutaki kuongea kwa sabubu nyingine kumbe ni ujinga fulani wa makampuni ya simu
 
Aiseee hii ni shida, sio kwa airtel tu ni mitandao yote tu!!! Very stupid
 
Na voda nao wahuni leo nimempigia rafik yangu ambaye ni mkiristo hasa nasikia mawaidha ya kiislam alivyopokea ikabid nimuulize anashangaa ajaweka mlio wowote .wahuni kweli.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom