Wanakera na vitangazo vyao full cheating yaani very janjafully enough
wanatumia uzoba wa watanzania(ignorance) kuvutia biashara
Haya matangazo Likuki ya Aitel Money kiladakika kwa kila radio eti ni free service...kwa nini wasiwe wazi kuwa ni from 01-99,000/=???? ukituma zaidi ya hapo ukikatwa unastahili kuwashtaki na kuwadai mabilioni kwa kuwahadaa wananchi..competitors hamlioni hili? Na tume ya fair competition inasemaje kwa matangazo kama haya
Mwisho wa free ni 99.999 ikifika laki tu wanakata.
nikituma 99,500 wanacharge shilingi ngapi?
Nadhani sio strategy nzuri kwa biashara kwa sababu inapunguza sana "credibility". Nakumbuka hata lile tangazo lao la modem na free data kwa miezi sita nalo halikuwa sahihi hasa.Hiyo ndo akili ya biashara,wako sahihi kwani washakwambia masharti na vigezo kuzingatiwa.sasa ungeuliza ili ujue hayo masharti na vigezo ni vipi?wala usingepost hii topic
Aaaah, Wamekata....??? Watakataje....???
Nadhani sio strategy nzuri kwa biashara kwa sababu inapunguza sana "credibility". Nakumbuka hata lile tangazo lao la modem na free data kwa miezi sita nalo halikuwa sahihi hasa.
Asante kwa kunipa jibu. Daily nilikuwa najiuliza hawa Jamaa wananufaika vipi kwa kutoa hii huduma Bure? Kumbe wanakataaaaaaaa???