Airtel Money

Airtel Money

Acha ujinga.Huyu kalalamika humu, na nimeona na watu wa Airtel nawafahamu naweza kuwatumia ,na wakamsaidia.Sasa kosa klangu ni nini?Haya anayolalamika karibu sehemu zote zina malalmiko hata ukienda kwenye mabenki.Na wakati mwingine yanafanyika huku chini bila watu wa juu kufahamu.sasa kama kuna watu wanafanya kazi huko ,tukawaambia huoni kama inaweza saidia kutataua matatizo yanayohusiana na huduma kwa wateja?Fikiria kabla ya kukurupuka.Unaongea kama vile umetoka kufumaniwa.
unalako wewe!!! unataka kufanya kazi za Customer care wa Airtel kwa lugha hizo hata kama sehemu zote zina malalamiko si amesite airtel?
 
habar wana jamvi!natoa malalamiko kama mteja wa airtel pesa,kwamba hi huduma ni pasua kichwa,mara mtandao haupatikan ukikosea kutuma pesa yako hairudishwi ,wanakwsmbia itarudi lakin wapi!usumbufu mtupu!
wahusika ujumbe mmeupata!tunawahama

Una hakika kweli na unachokinena?
Mi nimetuma 1m last week na wala haikusumbua. Nadhani kwa huduma ya mobile money so far ndo the only value added service convenient kabla hawajaanza kuweka makato.
Sijasikia tatizo la network esp kwenye mtandao wa Airtel labda wawe wanatumia hiyo kama excuse kupunguza mwendo kasi wa hiyo biashara.
 
Back
Top Bottom