Airtel Money

Airtel Money

Shauri

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2010
Posts
805
Reaction score
453
habar wana jamvi!natoa malalamiko kama mteja wa airtel pesa,kwamba hi huduma ni pasua kichwa,mara mtandao haupatikan ukikosea kutuma pesa yako hairudishwi ,wanakwsmbia itarudi lakin wapi!usumbufu mtupu!
wahusika ujumbe mmeupata!tunawahama
 
ulikumbwa na dhahama au ni maneno ya watu maana watz weng tnaish kwa hisia na labda labda labda
 
Hakatwi mtu hapa, yawezekana hizo ndo gharama za kutokukata.
 
acha fitina! na kwanini usiwe makini na jina linaonekana la unayemtumia? airtel imetusaidia wanyonge
 
habar wana jamvi!natoa malalamiko kama mteja wa airtel pesa,kwamba hi huduma ni pasua kichwa,mara mtandao haupatikan ukikosea kutuma pesa yako hairudishwi ,wanakwsmbia itarudi lakin wapi!usumbufu mtupu!
wahusika ujumbe mmeupata!tunawahama

ni PM details za hiyo Transactions.Kuna watu tukiwatumia watakusadia.Unajua wakati mwigine watu hawafanyi kazi zao,then unaichukia kampuni bure.
 
mimi mpaka nimekata tama niliambiwa zimezuiliwa nilipokosea na kufuatilia lakini hadi leo sijazipata pengine wanajilipa kwa huduma yao ya kutuma hela bure. lakini mimi pamoja na kutuma bure sitaki kusikia. Posta siku hizi wanajitahidi sana na ni kwa haraka sana ni ile huduma yao ya Posta cash
 
acha fitina! na kwanini usiwe makini na jina linaonekana la unayemtumia? airtel imetusaidia wanyonge
wewe utaona kama fitina kwa sababu hayajakupata lakini watu wengi wameumia na jina unalolitaja halionekani kama mitandao mingine mpaka zikishaenda ndio unaona, ukiwambia nimekosea watajitahidi kuzizuia lakini hawarudishi.
 
ni PM details za hiyo Transactions.Kuna watu tukiwatumia watakusadia.Unajua wakati mwigine watu hawafanyi kazi zao,then unaichukia kampuni bure.
Co ndio inayolalamikiwa kwa huduma mbaya na yenyewe inafahamu, unataka kutuambia kila mtu akikosea akuPM wewe uwatafute unaowafahamu ili wasaidie, wasiokujua wewe watasaidiwa na nani!!!!!!!!. hatuna nia ya kuchukia Co. ila iboreshe huduma.
 
Acha ujinga.Huyu kalalamika humu, na nimeona na watu wa Airtel nawafahamu naweza kuwatumia ,na wakamsaidia.Sasa kosa klangu ni nini?Haya anayolalamika karibu sehemu zote zina malalmiko hata ukienda kwenye mabenki.Na wakati mwingine yanafanyika huku chini bila watu wa juu kufahamu.sasa kama kuna watu wanafanya kazi huko ,tukawaambia huoni kama inaweza saidia kutataua matatizo yanayohusiana na huduma kwa wateja?Fikiria kabla ya kukurupuka.Unaongea kama vile umetoka kufumaniwa.
 
mimi mpaka nimekata tama niliambiwa zimezuiliwa nilipokosea na kufuatilia lakini hadi leo sijazipata pengine wanajilipa kwa huduma yao ya kutuma hela bure. lakini mimi pamoja na kutuma bure sitaki kusikia. Posta siku hizi wanajitahidi sana na ni kwa haraka sana ni ile huduma yao ya Posta cash

hii ni habari njema sana!
 
wewe utaona kama fitina kwa sababu hayajakupata lakini watu wengi wameumia na jina unalolitaja halionekani kama mitandao mingine mpaka zikishaenda ndio unaona, ukiwambia nimekosea watajitahidi kuzizuia lakini hawarudishi.

yap!umeona ee!
 
Co ndio inayolalamikiwa kwa huduma mbaya na yenyewe inafahamu, unataka kutuambia kila mtu akikosea akuPM wewe uwatafute unaowafahamu ili wasaidie, wasiokujua wewe watasaidiwa na nani!!!!!!!!. hatuna nia ya kuchukia Co. ila iboreshe huduma.

kweli mkuu!
 
Sasaa ni bukhreee, nikiwa jukwaan usinitunze pesa mufukoniii eeeh, tuma pesa na eatel manii! tuma pesa bila makato kwa shekhriii ooh shekhrii! hakatwi mutu hapa, uliza wakala dukan, sasa waweza tuma pesa bila kukatwa chochote pia waweza pokea pesa...
 
Back
Top Bottom