airtel modem

kasambalakk

Senior Member
Apr 2, 2011
125
17
habari
nina airtel modem kil nikitaka kuconnect na internet inasem kuwa port has been closed inanipa option ya kuredial kila mara nimejaribu kwa computr zaid ya mbili inasema hvyo hivyo lakni network inakuwepo hata vocha/salio naweza kuacess.

msaada
 
Bila shaka hiyo modem ya ZTE airtel
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom