Lily Flower
JF-Expert Member
- Oct 16, 2009
- 2,553
- 1,197
Habari za saa hizi wakuu,
Mie ninaduku duku langu nataka kulitoa, ni hivi jana nilinunua vocha kwa ajili ya kurcharge modem yangu process ilienda vizuri nilifanikiwa kupata 400mb cha kushangaza nimeenda kwenye internet kutype page ninayotaka ikawainakataa kufunguka nikasema labda network, nikajaribu tena page ikakataa kufunguka nikasema ngoja nicheki tatizo ni nini, kucheki naambwa sina salio nikajiuliza kulikoni nimeweka vocha muda huu hata sijatumia.
Hebu wanajamvii nisaidieni, hii huduma ya 400mb wamesitisha au inakuaje?
Asanteni.