Airtel Modem

Airtel Modem

naombeni mnisaidie mi kila siku napata offer ya airtel 40mb lakini sijui kuzitumia na nshapata 10,000 mara2 ckujua cha kufanya na customer care hawarespond
 
Mkuu hebu nizibue masikio leo.
Una maana gani hapo kwenye red? Kwa hiyo zile 2gb(kama sikose) kwenye voda zikiisha unaendelea kupata maximum speed kama kawaida,au mimi ndo sijakuelewa?

Speed ya ukweli u tube kama kawaida na torrent unadownload kama kwaida
 
Hako ni kale kawofa ka zain au! Kama ni kenyewe jaribu kuuliza kasalio kwa kutumia simu uone na pia hako kawindows kako kama kalikuwa na kiu kanaweza kukulambia hako ka bundle mara moja kakamaliza kwa sababu hizo net zenu huko zinaenda kasi mno sio kama hapa nilipo

ajajjajaja. at leas you made me show my teeth out, ati ka window kalikua na kiu???
hehhehhehehe
 
nawaonea huruma sana nyie munao nunua bundle mm huu ni mwezi wa pili sijawahi nunua bundle na watch super sports 3 online bureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ningewapa siri lakini naogopa watu wa mitandao wako huku watanifungia
 
Airtel ni janga lingine la kitaifa hebu fikiria mtandao hauna namba ya customer care, unapiga 100 inakuambia wahudumu wetu wanahudumia wateja wengine halafu inakatika.
UMEHAMIA??! Umebugi men!:becky:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom