Airtel Modem

Lily Flower

JF-Expert Member
Oct 16, 2009
2,553
1,197
Habari za saa hizi wakuu,

Mie ninaduku duku langu nataka kulitoa, ni hivi jana nilinunua vocha kwa ajili ya kurcharge modem yangu process ilienda vizuri nilifanikiwa kupata 400mb cha kushangaza nimeenda kwenye internet kutype page ninayotaka ikawainakataa kufunguka nikasema labda network, nikajaribu tena page ikakataa kufunguka nikasema ngoja nicheki tatizo ni nini, kucheki naambwa sina salio nikajiuliza kulikoni nimeweka vocha muda huu hata sijatumia.

Hebu wanajamvii nisaidieni, hii huduma ya 400mb wamesitisha au inakuaje?

Asanteni.
 
Hako ni kale kawofa ka zain au! Kama ni kenyewe jaribu kuuliza kasalio kwa kutumia simu uone na pia hako kawindows kako kama kalikuwa na kiu kanaweza kukulambia hako ka bundle mara moja kakamaliza kwa sababu hizo net zenu huko zinaenda kasi mno sio kama hapa nilipo
 
huduma bado ipo, hata hapa ndo naitumia kureply post yako...jaribu kucheck inawezekana computer yako kuna downloads zilikuwa zinaendelea mfano; windows updates km ulikuwa hujawahi ku-update window, au torrents.
 
Habari za saa hizi wakuu,

Mie ninaduku duku langu nataka kulitoa, ni hivi jana nilinunua vocha kwa ajili ya kurcharge modem yangu process ilienda vizuri nilifanikiwa kupata 400mb cha kushangaza nimeenda kwenye internet kutype page ninayotaka ikawainakataa kufunguka nikasema labda network, nikajaribu tena page ikakataa kufunguka nikasema ngoja nicheki tatizo ni nini, kucheki naambwa sina salio nikajiuliza kulikoni nimeweka vocha muda huu hata sijatumia.

Hebu wanajamvii nisaidieni, hii huduma ya 400mb wamesitisha au inakuaje?

Asanteni.

Labda ulianza kutumia iyo 2500 kabla ya bundle kuingia, hii mitandao siku hizi ukiweka bundle inabidi u-confirm kwanza. mimi asubuhi nimeweka bundle ya tigo mpaka sasa haijaingia!
 
mkuu hiyo ni kwa baadhii tu mi ilishagoma toka mwezi wa tatu mwaka huu kuna line zinakubali zingine hazikubali..
 
Habari za saa hizi wakuu,

Mie ninaduku duku langu nataka kulitoa, ni hivi jana nilinunua vocha kwa ajili ya kurcharge modem yangu process ilienda vizuri nilifanikiwa kupata 400mb cha kushangaza nimeenda kwenye internet kutype page ninayotaka ikawainakataa kufunguka nikasema labda network, nikajaribu tena page ikakataa kufunguka nikasema ngoja nicheki tatizo ni nini, kucheki naambwa sina salio nikajiuliza kulikoni nimeweka vocha muda huu hata sijatumia.

Hebu wanajamvii nisaidieni, hii huduma ya 400mb wamesitisha au inakuaje?

Asanteni.
Hii ofa 400MB nikwa baadhi ya line siyo zote, sijui nikwanini. Mtandao upo poa kimtindo.
 
I dont do with them now days why should I? Elf 15 wanakupa 1.5 GB, Zantel na Vodacom elf 20 unapata 5GB na ukitaka zaidi just elf 30 u get unlimited ya ukweli kweli! Why should I still buy their bundles? Aaaaah! To hell with em nilishatupa na line yao kabisa
 
habari za saa hizi wakuu,

mie ninaduku duku langu nataka kulitoa, ni hivi jana nilinunua vocha kwa ajili ya kurcharge modem yangu process ilienda vizuri nilifanikiwa kupata 400mb cha kushangaza nimeenda kwenye internet kutype page ninayotaka ikawainakataa kufunguka nikasema labda network, nikajaribu tena page ikakataa kufunguka nikasema ngoja nicheki tatizo ni nini, kucheki naambwa sina salio nikajiuliza kulikoni nimeweka vocha muda huu hata sijatumia.

Hebu wanajamvii nisaidieni, hii huduma ya 400mb wamesitisha au inakuaje?

Asanteni.
naomba unisaidie jinsi ya kuunga hzo mb 400
 
Labda ulianza kutumia iyo 2500 kabla ya bundle kuingia, hii mitandao siku hizi ukiweka bundle inabidi u-confirm kwanza. mimi asubuhi nimeweka bundle ya tigo mpaka sasa haijaingia!

Mkuu niliconfirm kabla sijaanza kutumia na nilicheki salio kwa kupitia simu na hiyo line huwa situmii kwa matumizi ya simu ni kwajili ya net tu.
 
I dont do with them now days why should I? Elf 15 wanakupa 1.5 GB, Zantel na Vodacom elf 20 unapata 5GB na ukitaka zaidi just elf 30 u get unlimited ya ukweli kweli! Why should I still buy their bundles? Aaaaah! To hell with em nilishatupa na line yao kabisa

Umeniambia kitu cha maana itabidi nihame huko kabisa.
 
Hii ofa 400MB nikwa baadhi ya line siyo zote, sijui nikwanini. Mtandao upo poa kimtindo.

Sasa hapa naaza kupata picha na mbona mwanzo ilikubali na nimeshatumia muda mrefu au wamesitisha hivi karibuni.
 
Habari za saa hizi wakuu,

Mie ninaduku duku langu nataka kulitoa, ni hivi jana nilinunua vocha kwa ajili ya kurcharge modem yangu process ilienda vizuri nilifanikiwa kupata 400mb cha kushangaza nimeenda kwenye internet kutype page ninayotaka ikawainakataa kufunguka nikasema labda network, nikajaribu tena page ikakataa kufunguka nikasema ngoja nicheki tatizo ni nini, kucheki naambwa sina salio nikajiuliza kulikoni nimeweka vocha muda huu hata sijatumia.

Hebu wanajamvii nisaidieni, hii huduma ya 400mb wamesitisha au inakuaje?

Asanteni.
Salio uliloangalia ni la bundle au ulicheki salio la vocha? Kama uliweka vocha yenye thamani ya Tsh. 2,500/= na ukaomba hizo 400MB then ikakubali,maana yake umeshafyekwa Tsh. 2,500/=. Kwahiyo kujua salio, kama una default dial up program ya hiyo modem ya airtel(huawei), nenda airtel menu, enter *154*44#, then chagua lugha(1 for kiswahili), then chagua 2(salio la bando),subiri majibu. Otherwise, kama walivyosema wadau wengine, kama umeruhusu automatic updates kwa softwares mbalimbali kwenye pc yako, lazima hizo 400MB zitaliwa kiasi kikubwa.
 
I dont do with them now days why should I? Elf 15 wanakupa 1.5 GB, Zantel na Vodacom elf 20 unapata 5GB na ukitaka zaidi just elf 30 u get unlimited ya ukweli kweli! Why should I still buy their bundles? Aaaaah! To hell with em nilishatupa na line yao kabisa

Mkuu hebu nizibue masikio leo.
Una maana gani hapo kwenye red? Kwa hiyo zile 2gb(kama sikose) kwenye voda zikiisha unaendelea kupata maximum speed kama kawaida,au mimi ndo sijakuelewa?
 
30K ni unlimited ila inakuwaga slow wakati mwengine..
 
Mkuu mimi nilikuwa muumini mzuri sana wa BOMBA7,lakini ilikuwa inanibore sana baada ya kuisha 750Mb(ingawa wakati mwingine ilikuwa inafika hadi 1gb).Speed inashuka hadi 12kbps(downloading),so hata hiyo 30K niliona itanizogoa vilevile.

Kwa hiyo hapo uliposema muda mwingine inakuwaje? Kwa hiyo muda mwingine haishuki hadi 30days zinapoisha,au? Hebu fafanua kidogo mkuu ili ikiwezekana niweke bundle leo!
 
Airtel ni janga lingine la kitaifa hebu fikiria mtandao hauna namba ya customer care, unapiga 100 inakuambia wahudumu wetu wanahudumia wateja wengine halafu inakatika.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom