Fadhili Paulo
JF-Expert Member
- Sep 1, 2011
- 3,211
- 996
Hapana Mkuu, haipo slow hata kidogo, hiyo ni pc yako tu na siyo modem, free internet ipo usiku kuanzia saa sitahii modem iko very slow.............. ajabu sanaa...free internet ya miezi sita wizi mtupuu.. daaah..
Sawa Mkuu, ngoja nisubiri hiyo mwakani, anyway nitanunua ya voda model hii hii, halafu hii nitaiuzampaka mwakan hio usubirie dc-crraapp itoke
Habari zenyu wanajamvi,
Wazee tafadhari kama kuna mtu ameshafanikiwa kui-unlock hii modem tafadhari anisaidie ni wiki ya 3 tatu nime-google mpaka nimechoka hakuna mafanikio.
Natanguliza shukrani zangu za dhati
Hi unaweza kwa urahisi kufungua e173 yako huawei Modem kwa kutumia code kufungua. Kama unahitaji kufungua code unaweza kutembelea tovuti hii Mobile-unlocker.com hapa unaweza kupata kanuni na kufungua e173 yako huawei kwa urahisi.

Una unlock modem kwa 48$ huu si ukuku-ng'ombe si bora nikanunue universal
mkuu inachakachulika dakika 5 tu hiyoo
Mkuu umem-quote wapi tena?
Kwenye link aliyotoa naona 3G modem ni 48$ ili iweze kufunguliwa
Hi unaweza kwa urahisi kufungua e173 yako huawei Modem kwa kutumia code kufungua. Kama unahitaji kufungua code unaweza kutembelea tovuti hii Mobile-unlocker.com hapa unaweza kupata kanuni na kufungua e173 yako huawei kwa urahisi.
Tatizo la mwaka 2012 unakuja kusaidia leo?, bonyeza hapa =>https://www.jamiiforums.com/tech-ga...ally-huawei-e173-airtel-unlocked-flashed.html
Una unlock modem kwa 48$ huu si ukuku-ng'ombe si bora nikanunue universal
sasa mbona umem-quote Maxence Melo pale kwenye post #10 ?
May be ulipitiwa Mkuu ! Sidhani kama uliye m Quote alisema hivyo !
May be ni bug !
Proved ni Bug mm nimemquote mtoa Link pale nyuma na sio Max maana hakuchangia kwenye hii thread