Voda niliwakimbia sababu ya vifurush vyao ni kuiba. Huku airtel najiunga la siku 3 kwa 1000. Shida sasa ni kwenye network. Unakuta kitu una-seach muda mrefu sana.Si ni bora Airtel Bando lao huwa linakaa kaa kidogo.. Unawajua Voda wewe?
Aiseee. Yani MB 750 za Airtel. ni bora kuliko GB 2 za voda aiseeSi ni bora Airtel Bando lao huwa linakaa kaa kidogo.. Unawajua Voda wewe?
Shida nu moja mkuu. Unakuta uko na voda,uko na airtel for long time. Utakuwa unaongeza tu simu ili upate kitu fulani kweli? Hakuna kitu sikipendi kama kuwa na masimu meeeengi. Ushamba huo siuwezi. Ukienda mfano Dubai,kila mtandao utakaogusa ni 4G unaamua wewe tusio lazima utumie airtel , kuna mitandao mingi sana Tz. hiyo 1000 ungejiunga halotel kwa wiki nzima na speed ni nzuri tu.
Airtel net iko slow sana. Kwa nini msihamie 4G. Hata hii 3G ni kama haina kitu kabisa,ni kama 1G tu hivi.
Muda mwingine unashindwa hata kufanya biashara kwa sababu ya hili dude.
Juzi kati hapo mteja amekuja dukani anahitaji spare ambayo haijui mfanano wake.
Mimi mbio mbio nii-Google,weee aibu,inaseach tu mamaeee...!mteja nimemtuliza mpaka akaniachia hilo tusi hapo juu. Wiki hii ndio kabisaa.
Na huu uzi nimeurudia kuuandika na kuu-send mara ya pili. Ya kwanza ime-seach karibia dakika 3,ile niikate nianze upya,si ukapita nayo.
Mbona airtel wanayo 4G
Kwangu mie hakuna mtandao bora kama airtel...speed yake ni nzuri sana kwa matumizi yangu
Line na simu ziwe zinasupport 4G...baada ya hapo ni kwenye settings tuUnafanyaje mpk upate hiyo 4G
.Unafanyaje mpk upate hiyo 4G
Kucheck kama laini yako ni 4G unapiga *149*99# kisha chagua Smatika yatosha intanet, kisha chagua boresha laini yakoLine na simu ziwe zinasupport 4G...baada ya hapo ni kwenye settings tu