Airtel mnanikata hela bila maelezo

TANZANNIA

JF-Expert Member
Sep 29, 2015
1,047
384
Niliingiza 5000/- kwenye simu yangu lakini nikajiunga na kifurushi cha wiki 2000/-salio langu likanionyesha nimebakiwa na 3000/.

Baada ya wiki nikaangalia salio ili nijiunge tena maajabu nikajikuta nimebakiwa na 2000/-.

Je 1000/-imekatwa kwa sababu gani?

Mbona haina maelezo?
 
Back
Top Bottom