Airtel mna matatizo gani?

simbamzeewamwakidila

JF-Expert Member
May 4, 2013
1,447
378
Airtel mnakera

Huwa najiuliza ina maana hampati malalamiko ya wateja?
Huduma zenu ni mbovu kupindukia iwe ni usikivu au internet kote ni matatizo
 
Airtel mnakera

Huwa najiuliza ina maana hampati malalamiko ya wateja?
Huduma zenu ni mbovu kupindukia iwe ni usikivu au internet kote ni matatizo
Mkuu kama ulikuwepo!

Jioni hii nimeunga furushi la gb1, ile kuanza kulitumua tu, naletewa notification kuwa nimetumia 75% ya bando, nikadhani utani.
Muda kidogo ikaingia ya kunieleza nimemaliza bando!

Nimeachwa kinywa wazi nisijue pa kuanzia!
Nadhani njia sahihi ni kuwahama tu maana hakuna namna.
 
Tudai katiba mpya
 
Uliwasha hotspots ukaconnect na pc?
 
Chukua TTCl
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…