Airtel, kuna nini?

We hujawahi jaribu Halotel wewe. Kifurushi changu kinaisha Leo ndio Kwaheli nawaaga. Sio internet, sio meseji, sio coverage ni ovyo. Naenda TTCL Customer Care nao wakizingua narudi Voda tu.
 
Sio kero tu hata ktk huduma yao ya airtel money wana kata pesa kidogo dogo mara sh 10mara sh 100 yaan wamekuwa makanjanja siku izi
 
Mawasiliano kwa mtandao wa Airtel yamekuwa na kero kubwa,kuna nini?
hawa jamaa ni shida huku znz ndo kabisa, simu hazitoki ikitoka ni baada ya kuwa imsearch kwa dk kadhaa na akipokea uliyemtumia unasikia simu inasonya tu, mesji lazima urudia kama mara tano hivi na kuendelea. Nawapigia huduma kwa wateja mjinga mmoja ananiuliza unatumia simu ya aina gani? upuuzi mtupu
 
Pole sana,kama unamgonjwa ni shida !maana utampata dr au wa usafiri saa ngapi!?
 
Kwakweli mimi binafsi hadi simu nimewapigia, yani network yako hasa ya internet ni mbaya sana sana
 
Nikimaliza bando lao la mwezi navunja na laini yao kwa kua walishaniudh tangu mwanzo
 
Back
Top Bottom