mpinga shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 3,234
- 960
Kuna tetesi kuwa baada ya kuelemewa sana, huenda Airtel ikajitoa kabisa kwenye huduma ya data na Internet hivyo kubaki kwenye voice tu.
Spidi ndogo ya mtandao huo kwa sasa, huwezi hata kuattach kafaili kadogo, inafanya wengine tukubali ndio wanaishia hivyo

Hizi ni ndoto eti kampuni ya simu za mkononi kujitoa kwenye data services...!!
U must b kidding
Hadi naogopa ss hela yangu ya airtel money cjui niitoe
Hakuna mtandao wa uhakika kama aitel amini nawaambieni.na myie mnao lalamika kuhusu uslow wa internet labda mazingira ya huko ushirombo kwenu mboa wengine tunapeta nayo hadi raha,