Airtel internet

Airtel internet

Jeff

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2009
Posts
1,293
Reaction score
202
Wadau naomba nijuzwe namna ya kujiunga na internet ya airtel,nataka kuhamia huku,tgo wameshindwa biashara
 
Nunua Airtel Mordem kwa mawakala wao kisha plug and play, fuata maelekezo rahisi na utapata nafasi ya kujiachia na hewa safi ya kutosha! Siyo kama ule mtandao wa kubanana kwenye bettle na kuvizia mawimbi juu ya miti hasa inaposfika saa 11 jioni! Karibu sana AIRTEL!
 
Mm naulizia hii ya kutumia cm ndugu!
 
Mm naulizia hii ya kutumia cm ndugu!

Andika neno INTERNET tuma kwenda namba 15444. Kisha utarudishiwa meseji ambayo utatakiwa ujibu NDIYO. Ukifanikiwa utakuwa umejiunga na kifurushi cha MB 400.
 
Andika neno INTERNET tuma kwenda namba 15444. Kisha utarudishiwa meseji ambayo utatakiwa ujibu NDIYO. Ukifanikiwa utakuwa umejiunga na kifurushi cha MB 400.

asante katavi,pamoja sana!
 
Nimefanya hivyo lakini hakuna jibu lolote,
 
MKUU KAMA SIMU YAKO HAIJAWAHI KUTUMIA LINE YA AIRTEL THEN TUMA NENO all KWENDA 232 UTAPOKEA SETTINGS THEN JIACHIE NA BANDO YA BEI POA YA internet KWENDA 15444
 
Iwapo kama walivyokushauri wadauwengine, kama cm yako inakubali internet, wakati unatuma neno INTERNET kwenda 15444 hakikisha una salio walau lenye TZS 3,000/= ili utakapokatwa TZS 2,500/= kwa kununua 400MB ya siku 30 ubakiwe walau na kasalio fulani.
 
natumaini umewaelewa wadau hapo juu. Sina cha nyongeza.
Mb 400 kwa ku surf tu ni nyingi sana.
 
kama bado haujajiunga nenda sehemu ya sms tuma neno WAP kwenda 123 kisha fuata maelekezo utakayo rudishiwa
 
Back
Top Bottom