Toka wiki iliyopita nimeona speed ya hawa jamaa imeshuka kwa kwasi ya ajabu sana, mwanzo speed yao ilikuwa inafika hadi 2.mbps kwa 3g, ila toka wiki iliyopita imeshuka na haifiki hata 1mbps, juzi na leo internet yao imekuwa ikisumbua sana unaweza ku-connect na usipate mtandao, pia imekuwa ina jidisconnect mara kwa mara... je wakuu ili tatizo na nyie mmeliona au ni kwangu tu, mimi niko sehemu ambayo napata 3G.
Kwa upande kwangu sija kutana na hilo tatizo, Mda wote niko kwenye HDSPA full signal, nahisi sehemu uliyoko 3G inasumbua . Kwangu EDGE ndio siipati kabisa hatakama nikiweka setting zake, mara nyingi na penda kutumia EDGE ili kupunguza Speed ya mtandao maana speed ikiwa kubwa sana na jikuta nataka kuingia kila sehemu kucheck videos.... ila kama wiki 2 hivi speed imeshuka sana hata kwa 3G kiasi kwamba huwezi kuanga lia video youtube moja kwa moja kwa sasa ina kwama kwama mno.hawa jamaa sometimes wanakera sana, yaani connection inakuwa kwenye EDGE muda wote, ikihamia kwenye HDSPA signal strength zinapotea kabisa hata ukibrowse utaishia kukata tamaa tu.sasa sijui kwanini wanajidai wanatoa 3G wakati hawana resources za kutosha kuhakikisha wana maintain 3g connection.
Tatizo la EDGE ipo slow sana, hata kufungua page ya JF inakubidi uwe mvumilivu.Kwa upande kwangu sija kutana na hilo tatizo, Mda wote niko kwenye HDSPA full signal, nahisi sehemu uliyoko 3G inasumbua . Kwangu EDGE ndio siipati kabisa hatakama nikiweka setting zake, mara nyingi na penda kutumia EDGE ili kupunguza Speed ya mtandao maana speed ikiwa kubwa sana na jikuta nataka kuingia kila sehemu kucheck videos.... ila kama wiki 2 hivi speed imeshuka sana hata kwa 3G kiasi kwamba huwezi kuanga lia video youtube moja kwa moja kwa sasa ina kwama kwama mno.
Hata mimi mwanzo nilihisi kama wewe mkuu.yeah.me 2.i had this problem,
me nilijua labda hii modem inaanza kuwa kimeo!!!am using tigo modem!!
Huduma kwa wateja tena? mimi toka asubuhi najaribu kuwapigia naishia kusikiliza matangazo yao tu.
sijui wanatatizo gani hawa. Yani mimi ingawa natumia internet ya simu siwez ona speed yake ila kwa kukadiria haraka haraka tu ninaona kabisa kwamba speed hii ndo ndogo mno. Na mchana mzima nilikuwa sina connection. Huduma kwa wateja hawapatikani. Jaman msaada anaejua namba nyingine ya huduma kwa wateja maana 100 siwapati
Mkuu hiyo 100 nlishapiga sana hawapokei,kuna jamaa akanambia kuna namba nyingine ya direct but sijafanikiwa kuipata.
Dah wakuu hilo tatizo linasumbua mno yaani kufungua site kama Google ambayo mara zote inakuwa faster sana lakini sasa duuuuh balaaa, nadhani wenyewe pia wanajua tuwe na subira
sahau simu yako kupokelewa hasa ukionekana tatizo lako ni la internet...labda usikuNimejaribu kuwapigia simu watu wa huduma kwa wateja lakini hakuna majibu naunganishiwa jingle za promo hadi simu inaishiwa chaji (si unajua simu za mchina tena!! japo tunapewa na betri za ziada kama magazini) inakera sana mkuu