Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,242
- 44,327
Tunaomba utueleze kinagaubaga coz kunaile boom club ya kuongea je nayo iko sambamba na hiyo ya internet 20mb.
unanunua vp?weka maelezn mkuu.
Yap exactly hio ya kuongea ndo wapata hizo mb20 but hizo mb si lazma ujiunge kuongea hata kama hujajiunga wasurf mpaka ziishe
Chief hiyo ya kuongea inakuaje? unajiungaje? Msaada tafadhali
Mods watansamehe sifanyi advertisement nakuelewesha wewe
Boom club ni huduma airtel wameanzisha inayokuwezesha wewe mteja kuongea na umpendae wiki nzima masaa 24 kwa sh 500.
Wana line zao wanauza zinakua 2 kwa mpigo so unanunu let say moja unampa demu wako.
Ukijiunga na hio boom club utampigia demu wako bure sku 7, lakini sisi tunahitaji internet so ukiwa na line ya boom club unapewa 10 mb irrespective umejiunga na ofa ya kuongea au hujajiunga
okay Chief.na hizo line za namna hiyo zinapatikana wapi?yoyote mpya nitakayonunua mtaani itakuwa imeunganishwa au mpaka kuna sehemu maalum ya kuzipata hizo line?