Airtel huu ujinga vipi tena?

BARIADI-KWETU

Senior Member
Dec 30, 2013
173
0
Nilikuwa na Dharura, nikahtaji Nitoe Vijisenti Vyangu Toka Akaunt yangu aitelmoney, nili-dial fasta *150*60# na Nika-opt kuwithdraw hela, Nilipoingiza Namba yangu ya Siri ambayo ndo huwa natumia Miaka yote, Jamaa Wakasema It is Wrong, nikafanya Kwa Mara Ya pili nikaambiwa Wrong, mara ya 3 nikaambiwa,wrong na kufungiwa juu. Ikabdi nitumie akili nyingine.


Nikapiga Customer care wakasema pasword yangu ili expire pia hata za wateja wengine sio mimi tu, wakasema nicreate newpaswad isyoanza na 0,1 au 2 pia namba zfuatane, nikitumia 1234 as default, Niliawamaind sana watafanyaje changes bila wateja kuwa informed kwa sms au direct call? Kama wanaweza kutuma sms za JISHNDIE TIKET KWENDA OLD TRAFORD, na kama wanaweza kutupigia kutuhamasisha kujiunga na ringtones callback tunes, kama wanaweza kutupigia kutuambia kuhusu Bundles Balances Wanashindwa nini kututaarifu wateja kuwa Mteja Paswed unayotumia ime-expire Badilisha, Ina Naana Kwenda OLD TRAFORD ni Sensitive mno kuliko Habari za akaunti za Mteja? Mpaka wavizimie mtu anashida anatoa hela ndo wadelive ujumbe tena kwa tishio la kumfungia akaunti yake? Akaunt wanadai ikifungiwa u have to wait 24 hours lakini nilkaa mpaka siku 4 hiki ni nini?

Haya baada ya kuwa unblocked nilitengeneza Paswed Mpya inayokidhi Masharti leo tena Wakati nataka kutoa Hela ili nitoke kula ka mwaka Mpya Na Ubavu wangu, tukiwa tumevaa tayari nimeagiza naTEKSI nikijua ka-Laki kangu ka1 kalikomo Airtel Money kataniweka mjini, Kwenda Kwa wakala kujaribu Kutoa kwa ktumia paswed yangu mpya ambayo awali niliitumia kama mara 4, leo tena imegoma na Hapa nimefungiwa Napiga Customer Care hawapokei na Sikukuu imeishia Hapa Wakuu Ni Aibu


HUU U.S.E.N.G.E AIRTEL MONEY UMEANZA LINI? JE NYIE HUKO PIA MNAPITIA HAYA MASWAIBU? KUNA SHEMEJI YANGU NAE KAFUNGIWA JANA.
 

rahimladha

Member
Jul 27, 2013
34
70
ikitokea hivyo mara ya kwanza nenda kwa password change ingiza default 1234 alafu ingiza mpya then continue
 

Twilumba

JF-Expert Member
Dec 5, 2010
7,945
2,000
waakati mwingine huwa naona watu kama TCRA hawana kazi za kufanya maana wangekuwa makini kufanya kazi zao hiki kitu wangeshakiona kwa jicho la tatu.

Kazi kubwa wanayoiona ni kugawa frequency za Radio na TV tu nyingine zilizobaki ni kazi za kila aakayekubwa na tatizo.

Kuna taarifa zilishakuwepo jamvini kuwa kuna watu wamenunua mtambo Israel, mtambo ambao una-interfair mawasiliano ya simu, Tang nisikie hilo ssijasikia TCRA kukanusha wala kukuubali.

Tanzania nchi inayohitaji ujasiri kuishi!
 

Limbert

Member
Nov 26, 2013
64
0
ikitokea hivyo mara ya kwanza nenda kwa password change ingiza default 1234 alafu ingiza mpya then continue

Mwambie huyo ndg yako wamenezidi mno ushamba nakupenda vi2 vyabule hapo bariadi mmezidi mtu na busara zako huwezi kutumia airtel M, kwnza hainaulinzi wapesa urishaona wapi ukiweka 1234 unaruhusiwa kubadiri no ya siri bira kujali no ya zam, usiraramike ulishakubari kuongozwa nakipofu nawewe nikipofu turia uspige kerere sawa ?
 

ChescoMatunda

JF-Expert Member
Jan 7, 2009
1,186
1,500
Mambo ya pesa bwana Hapo vihela vyenu viko kwenye mchongo mumezuiwa kutoa kwa muda mpaka wakiamua kuzirudisha
 

BARIADI-KWETU

Senior Member
Dec 30, 2013
173
0
Mwambie huyo ndg yako wamenezidi mno ushamba nakupenda vi2 vyabule hapo bariadi mmezidi mtu na busara zako huwezi kutumia airtel M, kwnza hainaulinzi wapesa urishaona wapi ukiweka 1234 unaruhusiwa kubadiri no ya siri bira kujali no ya zam, usiraramike ulishakubari kuongozwa nakipofu nawewe nikipofu turia uspige kerere sawa ?

ni very risky kaka yaani wewe ukikuta simu ya mtu ana airtrl money we change pin tu, kwa 1234 ushaiba tayari huu U.S.E N.G.E
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom