Mitandao yote sasa ni wizi,wanapandisha gharama za kupiga simu bila kutoa taarifa,je tra mkowapi je mnalipwa kodi kwa ongezeko hilo?au nyie mmekaa kuwakamua waganga njaa wanyonge wa nchi hii wenye vibiashara vidogovidogo ambavyo havimpatii hata mlo wasiku? Tcra kaziyenu nini?ama nchi hii ni shamba la bibi kila mtu anavuna apendavyo bila kubugudhiwa.