BobKinguti
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 228
- 87
-Wakuu habari zenu? Tafadhali naomba msaada, nime-install huawei e173(airtel) kwenye pc yangu(window 7 ultimate) vizuri kabisa na modem inakua detected, dashboard ya airtel vilevile inaisoma modem na network inakamata vizuri kabisa. Niki connect to the internet, dashboard inakubali kuconnect lakini chini ya pc kulia pembeni ukiangalia network and sharing centre, inasenma NO INTERNET ACCESS, na kweli ukijaribu kubrowse hakuna page yoyote inayofunguka.
-Nimejaribu kuhaingaika kwa kila namna bado sijaelewa tatizo nini? Nimeweke line nyingine kwenye modem bado tatizo lipo pale pale. Tafadhali kwa mwenye kujua namna ya ku-solve tatizo hili anisaidie.
-Nimejaribu kuhaingaika kwa kila namna bado sijaelewa tatizo nini? Nimeweke line nyingine kwenye modem bado tatizo lipo pale pale. Tafadhali kwa mwenye kujua namna ya ku-solve tatizo hili anisaidie.