Kuna taarifa ambazo nazitilia mashaka kama kweli zimetoka airtel.. Page yao ya facebook nahisi imeingiliwa na wahuni amabo wanaipa promo kampuni inayosema inatoa mikopo ya bei nafuu iitwayo SOCIAL CREDIT COMPANY... wameweka na video ya kutengeneza.. kwa ushahidi tembelea link hii https://www.facebook.com/airteltanzania?hc_location=stream
Kama website ya taifa inapitiwa na hackers na ya tcu pia sasa hio ya airtel watashindwa??? Acha wajifunze na waweke wataalamu wa kompyuta na sio wana siasa
Kama website ya taifa inapitiwa na hackers na ya tcu pia sasa hio ya airtel watashindwa??? Acha wajifunze na waweke wataalamu wa kompyuta na sio wana siasa
ni rahisi sana, website nyingi zinakuwaga na level of access, kuna sehemu za website ni almost impossible to hack mfano database etc, ila profile pages zinakuwa hacked kila siku, ni hackable