Airtel Customer Care

Airtel Customer Care

Kontelo

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
571
Reaction score
161
Habari zenu wakuu.

Hivi Airtel Tanzania kile kitengo cha Huduma kwa Wateja huwa kuna watu wanaohudumia kweli au mmeamua kutusumbua na shilingi 60 zetu kutuchukulia. Inashangaza kuona mnachaji hela kwaajili ya kuhudumiwa kwenye kitengo cha msaada lkn badala yake mnaishia kutuwekea nyimbo na simu inakaa mpk dakika 15 bila kupokelewa mpk unaamua kukata.
Kwanini hambadiliki na mambo yenu ya kizamani badala ya kuangalia muundo nadhifu wa kuwahudumia watu na kutoa huduma zenye tija.

Tatizo lililonifanya nipige simu Huduma kwa wateja ni kupokea sms ya aina moja kila mda, ukimuuliza mtumaji sms umetuma mara ngapi anasema mara moja lkn cha ajabu kila baada ya dakika 5 unapokea sms ya aina ile ile.

Airtel naomba mshuulikie tatizo langu ipasavyo nimechoka kero ya kupokea sms moja kila mda.

Namba yangu ya simu ni 0684 908097
 
siyo airtel tu wote ni ndugu moja
 
Hao wezi tu kuna siku niliweka vocha wakakata yote na sikua na deni nawapigia customer care wenyewe hawajui cha kufanya nyie airtel muache wizi hata tukiwapigia hamu solve matatizo yetu kama wateja zaidi ya kutuibia mnafikiri hela inaokotwa eeh watu wenyewe mnaoajiri hawawezi solve tatizo waigeni Customer care ya Voda atleast wako active kukalisha wateja zaidi ya dakika kumi hafu hamtoi msaada badilijeni mna bore sana nyie
 
Km wameshindwa kuhudumia wateja kwa njia ya cmu wafunge custimer care zao zote coz ni useless
 
ijumaa ya tarehe tatu nilituma hela kwa mtu wa mtandao tofauti yule jamaa hakupata hela na mimi nikakatwa hela nawapigia nimekuja kuwapata zaidi ya lisaa limoja hivi akapokea kaka mmoja nikamwambia kaka leo mbona mmetutesa muda wote huu kama nimetuma hela kimakosa huyo mtu si atakuwa ameshaitoa? basi yule kaka akaja juu utafikiri ametiwa kidole cha macho hakunisaidia lolote zaidi ya kuniharibia siku yangu kama kuna watu wanafuatilia ilikuwa mida ya saa nane mchana namba niliyotumia ni 0787478449 nitashukuru nikipata mrejesho kwani nadhani yale majibishano huwa yanarekodiwa

Pole sana kiongozi. Mi huwa najiuliza haya yote wanayotufanyia ni nani anawapa jeuri? Ni wawekezaje lkn wamekuwa km wao ndo wazawa na sie wazawa ndo wageni. Inauma sana kuishi nchi uliyozaliwa na kukulia then unaburuzwa na kusimangwa km foreigner.
 
Nlihamisha pesa airtel money kwenda tigo haikufika kwa niliyemtumia.
Kupiga simu kuwapata ni issue na majibu hao customer service km unahela zako nyengine unasamehe ukaanze upya..
Wanajeuri sijapata ona na Hapo ni tatizo limetokea kwao.likiwa lako naona na matusi utatukanwa
 
Ukiingia hizo ofisi zao hao customer care ndo utachoka aisee, hivi kumbe wanasumbua hivyo kupokea simu? Yaani ukiingia mle ndani utavikuta visichana viko bize kujipodoa muda wote, mimi huwa nashangaa mpaka nadhani labda wateja wenye matatizo ni wachache, yaani mkuu nakuibia siri hawa watu muda wote huwa wako bize kujipodoa pale ndani na kujifunika khanga tu eti wanadai A/C zinawaumiza vifua, wavulana nao bize kwenda vyooni na jikoni kuonja, yaani pale ndani ni vululu vululu kama darasa la kwanza.
 
Km majukumu yamewashinda waachie ngazi na sio kutufunika funika na kutufanyia wanavyojiskia wao
 
ijumaa ya tarehe tatu nilituma hela kwa mtu wa mtandao tofauti yule jamaa hakupata hela na mimi nikakatwa hela nawapigia nimekuja kuwapata zaidi ya lisaa limoja hivi akapokea kaka mmoja nikamwambia kaka leo mbona mmetutesa muda wote huu kama nimetuma hela kimakosa huyo mtu si atakuwa ameshaitoa? basi yule kaka akaja juu utafikiri ametiwa kidole cha macho hakunisaidia lolote zaidi ya kuniharibia siku yangu kama kuna watu wanafuatilia ilikuwa mida ya saa nane mchana namba niliyotumia ni 0787478449 nitashukuru nikipata mrejesho kwani nadhani yale majibishano huwa yanarekodiwa

Jamani nilidhani nipo peke yangu mimi tangu tarehe 1 October 2014 fedha yangu imekwama kwa hawa watu na sijapata mrejesho, nilituma kwenda tigo
 
Habari zenu wakuu.

Hivi Airtel Tanzania kile kitengo cha Huduma kwa Wateja huwa kuna watu wanaohudumia kweli au mmeamua kutusumbua na shilingi 60 zetu kutuchukulia. Inashangaza kuona mnachaji hela kwaajili ya kuhudumiwa kwenye kitengo cha msaada lkn badala yake mnaishia kutuwekea nyimbo na simu inakaa mpk dakika 15 bila kupokelewa mpk unaamua kukata.
Kwanini hambadiliki na mambo yenu ya kizamani badala ya kuangalia muundo nadhifu wa kuwahudumia watu na kutoa huduma zenye tija.

Tatizo lililonifanya nipige simu Huduma kwa wateja ni kupokea sms ya aina moja kila mda, ukimuuliza mtumaji sms umetuma mara ngapi anasema mara moja lkn cha ajabu kila baada ya dakika 5 unapokea sms ya aina ile ile.

Airtel naomba mshuulikie tatizo langu ipasavyo nimechoka kero ya kupokea sms moja kila mda.

Namba yangu ya simu ni 0684 908097

Mkuu hawa jamaa shidaaaaaa,mimi Jumapili iliopita nimenunua umeme kwa njia ya airtel money, elf 20.Cha kushangaza hela wamekata na sms wamenitumia kwamba nimeshalipia LUKU, ila mpaka sasa sms ya kunipa umeme wangu haijafika.Jana(Jumatano) nikawapigia simu customer care akapokea jamaa anajiita Beni, ananijibu ----- tu, hamna la maana,akaishia kunichefua tu.Mpaka sasa hmna umeme wala hela yangu haijarudi.

Hawajamaa inafaa wajitathmini.
 
airtel mnaboaaa
nimehama voda
nimeruka majivu nimekanyaga moto
 
yani wanakera to the point of turning me off they line...unaweka hela unajiunga internet wanakata hupat internet...unawapigia cm..wanakwambia tatizo lako litashughulikiwa baada ya saa3..karibu na endelea kutumia airtel bla bla...they sucks..poor customer service...kuna dada anaitwa Grace cjui..yani ni kichefuchefu
 
Ndio maana mimi nilihamia voda mapemaa! Unapiga simu customer care unawekewa mziki karibu masaa matatu na msaada hupati!
 
Kuna siku nimejiunga kifurushi nikaanza ongea zaidi ya nusu saa wakakata salio langu badala ya dakika nilizojiunga.Nikawapigia wakadai watarudisha credit zangu zaidi ya Tsh 8000 mpaka kesho wameuchuna!!!Kinachonikera kila siku nakatwa credit.Nliuliza wakadai line yangu imejiunga na huduma ya miziki.Nikawaomba wanitoe kwenye huduma hiyo zaid ya mara 3 hawajashughulikia!Halafu ukipiga simu ukakutan na likaka linahudumia kama vile halilipwi mshahara majibuya mkato mpaka unachoka
AIRTEL ANGALIENI MSIJE KUA TOTO LAO
 
Airtel ni majanga sana hawa mbwa nilijiunga na kifurushi sms net kawa kawa kupiga eti inagoma sina salio kuwapigia huduma kwa wateja wananiambia nizime simu niwashe kisha nitumie kama kawaida hakuna kitu kupiga tena wananiambia wakate shs 60 kutoka simu yangu ili waniunganishe na huduma kwa wateja waniambie tena upuuzi wao maana hapo nimeishapiga kama mara nne hivi wote wananiambia huo huo ujinga,nimewapiga chini tu
 
Back
Top Bottom