CK Allan
JF-Expert Member
- Aug 14, 2013
- 2,781
- 6,065
wadau mimi naleta huu uzi sio kwa lengo la kuwaharibia Airtel lakini ni kuwashauri tu..
kiukweli internet ya Airtel ni majanga, ni shida.. sijawahi kuona speed ya internet uchwara kama hii..
Sasa hivi wenzao Tigo na Voda wanashindana kwenye 4g hawa Airtel bado hata hiyo 2g ni shida...
Sasa hivi Tigo wana 3g karibu nchi nzima hadi vijijini.. Airtel badilikeni....