Kwani modem si inatumia line,inawezekana lkn hiyo hela isiwe kwenye bundle kama ipo kwenye bundle hapo kimbembe!!!Lakini kama ipo hela kama hela simple tuu ukishindwa toa hiyo line kwenye mdm weka kwenye simu nyingine jirushie!!!
Hueleweki mkuu
Kama unamaanisha kuhamisha kifurushi hiyo haiwezekani
Na kama unamaanisha kuhamisha muda wa maongezi wa offer hiyo nayo haiwezekani
Kama unamaanisha kuhamisha credit inawezekana......just toa sim card kwenye modem ingiza kwenye simu kisha hamisha kwenye namba ya simu yako
Sijui kama nimekupata.......