Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,155
- 107,724
- Thread starter
- #941
Shida yetu ni utunzaji, ukiingia humo tayari vyoo vimeanza kucheuaUwanja ambao ukiingia ndani ya uwanja mpaka ndani ya ndege huoni vumbi Wala kunyeshewa mvua. Kama KENYA wanao watuonyeshe.
