Airport passport cotrol

Airport passport cotrol

mirreh

Member
Joined
Mar 11, 2013
Posts
14
Reaction score
15
Airport passport contral section. Huduma zao ni mbaya sana na wako slow saaana, wahudumu wa kwenye ma bar na mahotel wana huduma nzuri kuliko wao. Naomba muhusika wa section hiyo awape training upya customer services ni 0 kabisa.
 
Pale sio eneo la maneno mengi ulitaka waongeee na wewe nini ZAIDI KWA MFANO ILI USEME CUSTOMER CARE yao nzuri.Kama kuna kuchelewa ni maswala mara ingine ya mitandao ,mtandao unaweza kuwa slow sio mtu yuko slow.Ungesema specifically tatizo lako ulilokutana nalo ni lipi? uLITAKA wakubebe mgongoni kukupeleka sehemu ya abiria ndio useme wanajali wateja?
 
Back
Top Bottom