airplane routes flat earth

Sexer

JF-Expert Member
Oct 22, 2014
8,377
8,075
hivi watu hufuata nini US na Ulaya? hasa wa ulaya kwenda us na wa us kwenda ulaya. hapo chini ni picha ya routes za ndege katika ulimwengu huu, pia wale wa US vs RUSSIA mbishane kidogo make hizo routes ni sign ya kuendelea kwa taifa.
ImageUploadedByJamiiForums1451308429.277147.jpg

afu nilichogundua kingine kumbe huku afrika hakuna safari za ndege labda kidogo south africa.
 
Hapo kwenye ramani ya Tanzania (Mitaa ya Geita) na Congo (mitaa ya Goma) tulipaswa kuona path nyingi kama inavyoonekana hapo North America...tatizo tu jamaa wanatumia airstrip/airport bubu kubeba magendo
 
Back
Top Bottom