hassan mdidi
JF-Expert Member
- Apr 13, 2014
- 421
- 167
Naomba kujua, engine ya ndege huwa inapozwa na nini? Maji, hewa au oil?
cooling system ktk ndege hutegemeaNaomba kujua, engine ya ndege huwa inapozwa na nini? Maji, hewa au oil?
Milioni 10 na kidogoAda yake ni how much
ndug soki; iko hiviii engine(s) inapowashwa hupelekea fen kuvuta hewa iliyo nje kuingia ndan na hukutana na compressor kukigandamiza kiwango hicho na kupajoto hapo huchanywa na fuel kutokea mlipuko hewa ile(mosh) kutolewa nje kuptia turbine had ktk exhaust nozzle sababu hiyo sehemu ni ndogo na kile kiwango kilichounguzwa ni king huzalishwa pressure na kutokana na ukubwa na uzito wa ndege hupelekea hiyo ndege kumove forwardNdege inapaaje na uzito wote ule na je huko angani uzito hubaki ule ule au hupungua?
Napenda kufahamu, ndege inaweza kuruka kwenye sehemu isiyokuwa na hewa( vacuum)habari wanajamvi?
napenda chukua fursa hii katika kutoa elimu juu ya masuala ya vyombo vya anga
niulize swali lolote kuhusiana na plane's engines na utendaji kazi wake
asante nawakilisha hoja
pia ndugu soki kuhusiana na swala la uzito ni kawaida sana kubeba mzigo kulingana na uzite wake yaan isizid uzito wake
mfano wewe una uzito 50kg utawezabeba load ya 100kg?
hivyo baada ya ndege kukamilika baada ya kuundwa pale kiwandan huchukuliwa na kuingizwa ktk mzani wa jumla na kubain kila zake halisi hivyo kama ndege inauzito wa 1000kg mwisho huchukua load ya 900kg had 950kg haizid hapo
na inapokua angani(floating) huzito hupungua na kua floated
hizo ni thiory za mass,volume na density ktk physics
ndio inawezekana mkuuNapenda kufahamu, ndege inaweza kuruka kwenye sehemu isiyokuwa na hewa( vacuum)
duh!ndio inawezekana mkuu
kwan baada ya nguvu aina ya thrust kuanzishwa na engine hupelekea hiyo ndege kumove foward hivyo nilazima ktk movement kali huzalishwa artificial winds baada ya kukosekana kwa natural winds
mfano unapokua ktk bodaboda kabla ya mwendo kuanza na assume ktk joto hakuna hewa na hiyo bodaboda ikiwa ktk kasi pressure ya upepo nayo huzalishwa au gari inapokua ktk foleni ni tofaut na inapokua ktk movement kwan kiwango kikubwa cha upepo huzalishwa
hivyo huo upepo kama kawaida huipush up yale mabawa na kupaa
ndege inaweza paa hata kama hakuna natural winds
ukitaka kuamini hiyo tafuta sehemu isiyo na hewa ya kutosha then kimbia kwa kasi lazima kama umevaa shat pana utaona likipepea
this means when speed increase also pressure(artificial winds) increase too
as one way speed(d) is direct proportional to pressure(artificial winds)
Shukran kaka, nimekuelewandio inawezekana mkuu