Unakuwa na nyumba unaitangaza kwenye app yao unaweka sifa zake then watu wanakuja wana book ina hela nyingi hasa nyumba ilowa sehem za utalii..... nina account yenye fake house nimesajili kuwa nyumba ipo Moshi nikatupia vipicha kadhaa,huwa napata request nyingi