Airbag za brevis

ndekia1

Member
May 5, 2008
31
5
Habari
Nilipata ajali na gari ndogo aina ya Brevis sema injini haijaguswa ingawa show ya mbele imeharibia na airbag zote zimefumuka kioo kimearibika kabisa. je kuna uwezakano wa kurudisha gar katika hali yake na ni gereji gani nzur kwa dar wasio na longolongo.
 
Pole sana mkuu, barabara ya rose garden ukitokea mikocheni kabla ya kufikà traffic light za sayansi kushoto kuna gereji ya wachina
 
Back
Top Bottom