Air Tanzania plane seized in Canada over US$33 million compensation claim

Pia tungejulishwa Malibu ya mhe. Balozi wa Canada. Nahisi alijitetea kuhusu separation of powers & independence of judiciary. Wenzetu wanajali Sana utaratibu huo tofauti na nchi zetu za kiafrika. Magharibi Mahakama,Bunge na Serikali ni vyombo vinavyoheshimiana sana.
 
Wewe ndyo ms*nge mkubwa kuliko iko hivi;Steyn anakidai Taifa fedha nyingi sana ambapo walianza kwa kumlipa baadae serikali ikaacha kumlipa,hata kule South Africa hatukushinda ile kesi kama unakumbuka mahakama ya South ilishindwa kusikikiza kesi hiyo kwa kuwa haikuwa na uwezo wa kuisikiliza kesi hiyo (haikuwa na mamlaka ya kisheria kusijikiza kesi hiyo)

Pia,kama Tanzania (ccm) walimshinda Steyn basi walipaswa kumdai fidia (compensation) kumbuka hiyo ni ndege ya biashara na ilizuiliwa kwa muda wa miezi miwili,mbona Watanzania (ccm) hawakudai fidia?

Steyn anawadai mjitahidi mumlipe kama mmetunza fedha kwaajili ya kununulia madiwani basi mpeni Mzungu wa watu fedha zake!
Hivi unatumia mbinu gani kutoa akili zote kichwani na kujaza funza? Mahakama iliyotoa order ya kukamatwa ndege yetu huko SA ni ipi na iliyoshindwa kusikiliza hiyo kesi ni ipi na iliyotoa uamuzi wa kuachiwa ndege yetu ni ipi na huo uamuzi ulitolewaje na hiyo mahakama bila kusikiliza kwanza maelezo ya pande zote?
 
Kwa hiyo bombadier iliyokamatwa siyo ya serikali? Sasa mbona kalamagamba anaitolea povu badala ya kumwachia mwenye ndege yake alalamike?
Kwanza ndege bado ipo kwenye manunuzi kiwandani haijakabidhiwa mikononi mwa mteja inashikwaje?
Maana yake hapo kuna issue baina ya kiwanda na huyo mshikaji ndege.
Huyo mwenye madai angekuja Tanzania kudai sio kuvizia huko na Tanzania iachane na kununua ndege Canada kwasababu mimi nikiagiza kitu mfano china hakiwezi kushikwa na anae nidai mpaka kiwe mkononi mwangu.

Jambo jingine ATCL haidaiwi wanaodaiwa ni serikali kwanini ashike kampuni yenye ubia na serikali?

Huyo aje Tanzania ashike mali za serikali kama vile ndege za jeshi, helkopta za police hizo ndizo mali za serikali.

Hebu hawa wakanada wakoromewe waache kutuchezea.
 
Back
Top Bottom