Air Tanzania plane seized in Canada over US$33 million compensation claim

Francis12

JF-Expert Member
Sep 30, 2016
7,533
22,276
An aeroplane being delivered to Tanzania’s national airline has been impounded in Canada over a Namibian-born farmer’s US$33 million compensation claim, Tanzania’s foreign minister said on Saturday.

The DHC Dash 8-400 aircraft, a turboprop also known as the Bombardier Q400, which seats up to 90 people, is the second to be seized in connection with case.

In August, an Airbus 220-300 aircraft was seized in South Africa’s Johannesburg airport, after it landed on a flight from Tanzania, but was released in September.
The same person who went to court in South Africa, and caused the impounding of Airbus in August, went to a Canadian court,” Tanzania’s Foreign Minister Palamagamba Kabudi.

The plane, built by Canada’s De Havilland company, was due for delivery as part of a fleet expansion of the government-run Air Tanzania.

“We won in a case with this man in South Africa,” Kabudi added.

He did not give details of how or where the plane was seized.

“I summoned the Canadian ambassador to Tanzania and clearly told him that Tanzania is not happy – and we are actually angry,” Kabudi said.

In 2017, in a separate case, another Q400 turboprop plane was impounded by a Canadian construction firm over a US$38 million lawsui
 
Sasa anamuita Balozi afanyeje? Aingilie maamuzi ya Mahakama? Kabudi alidhani ni Bongo, Mihimili yote inabebwa na mhimili mmoja......Never. Tulipeni deni, mambo ya kusema we are not happy hayasaidii.....huyo happy hawahusu hao, tulipeni.

Tumewadhulumu Walimu, Wakulima, Wakandarasi.....hapa tumegonga mwamba
 
Hilo deni mahakama ya SA hawakuliona?!
 
Kwa hiyo safari hii wanaotetea ni Lawyers wa ki Canada kabisaa na tunawalipa
Naisubiri hii kesi
 
Kabudi kauliza why Canada? Halafu akasema Canada siyo nchi peke yake inayotengeneza ndege-kwa ligha nyingine anawatishia Canada. Nikawaza tu ndege moja kwa Tnazania ni mali sana, je Canada kupoteza order za Tanzania (ndege 3 au 5 mfano) itatafuna profits za hiyo kampuni kwa kiasi gani? Nasikia wenzetu huweza kuweka order ya ndege nyingi kwa wakati mmoja, hivyo wakitishia ku-cancel order kunakuwa na mtikisiko. Wanajamvi, je na sisi tunaweza kuleta mtikisiko huko au ni hasira zetu tu?
 
Umeshaambiwa watengenezaji pekee wa ndege sio wao tu, usidharau nchi kwa udogo wake, leo hii waambie wamarekani kwamba tunasitisha uagizaji wa mitumba toka kwao uone watakavyochanganyikiwa, ndio utaijua nguvu ya buku kama biko, japo ndogo.
 
Ukitaka kuthibitisha ujinga wa Kalamaganda kwa Canada jiulize kama wewe unaenunua nusu ya robo kilo ya nyama mara mbili kwa mwaka kwenye butchery ya mtaani kwako (ambayo mwenye butchery hiyo ana tenda ya kuuzia hoteli 10 kilo mia kwa wiki) na ukamtishia kuwa utaacha kununua kwake hiyo nusu kilo yako kwa mwaka uone kama atapata shida kubwa.
 
Sasa anamuita Balozi afanyeje? Aingilie maamuzi ya Mahakama? Kabudi alidhani ni Bongo, Mihimili yote inabebwa na mhimili mmoja......Never. Tulipeni deni, mambo ya kusema we are not happy hayasaidii.....huyo happy hawahusu hao, tulipeni.

Tumewadhulumu Walimu, Wakulima, Wakandarasi.....hapa tumegonga mwamba

Kwanza ndege bado ipo kwenye manunuzi kiwandani haijakabidhiwa mikononi mwa mteja inashikwaje?
Maana yake hapo kuna issue baina ya kiwanda na huyo mshikaji ndege.
Huyo mwenye madai angekuja Tanzania kudai sio kuvizia huko na Tanzania iachane na kununua ndege Canada kwasababu mimi nikiagiza kitu mfano china hakiwezi kushikwa na anae nidai mpaka kiwe mkononi mwangu.

Jambo jingine ATCL haidaiwi wanaodaiwa ni serikali kwanini ashike kampuni yenye ubia na serikali?

Huyo aje Tanzania ashike mali za serikali kama vile ndege za jeshi, helkopta za police hizo ndizo mali za serikali.

Hebu hawa wakanada wakoromewe waache kutuchezea.
 
Yeah. Ile kesi ya SA, Mahakama iliamuru mlalamikaji kulipa gharama za kesi na hasara aliyosababisha. Naona anarudia.
Watajua tu, hii sio TZ ya zamani. Waulize Acacia
 
Huna akili. Hivi unadhani wao wajinga wakamate ndege ambayo iko yatengenezwa?
Wana info ndio maana

Umesahau Dreamliner mpya walitangaza inakuja afu baadae wakasema wakiotangaza wakamatwe?
Kwanza ndege bado ipo kwenye manunuzi kiwandani haijakabidhiwa mikononi mwa mteja inashikwaje?
Maana yake hapo kuna issue baina ya kiwanda na huyo mshikaji ndege.
Huyo mwenye madai angekuja Tanzania kudai sio kuvizia huko na Tanzania iachane na kununua ndege Canada kwasababu mimi nikiagiza kitu mfano china hakiwezi kushikwa na anae nidai mpaka kiwe mkononi mwangu.

Jambo jingine ATCL haidaiwi wanaodaiwa ni serikali kwanini ashike kampuni yenye ubia na serikali?

Huyo aje Tanzania ashike mali za serikali kama vile ndege za jeshi, helkopta za police hizo ndizo mali za serikali.

Hebu hawa wakanada wakoromewe waache kutuchezea.
 
Sasa anamuita Balozi afanyeje? Aingilie maamuzi ya Mahakama? Kabudi alidhani ni Bongo, Mihimili yote inabebwa na mhimili mmoja......Never. Tulipeni deni, mambo ya kusema we are not happy hayasaidii.....huyo happy hawahusu hao, tulipeni.

Tumewadhulumu Walimu, Wakulima, Wakandarasi.....hapa tumegonga mwamba
Safi sana!
 
Hilo deni mahakama ya SA hawakuliona?! M*#nge mkubwa wewe..!!!!
Wewe ndyo ms*nge mkubwa kuliko iko hivi;Steyn anakidai Taifa fedha nyingi sana ambapo walianza kwa kumlipa baadae serikali ikaacha kumlipa,hata kule South Africa hatukushinda ile kesi kama unakumbuka mahakama ya South ilishindwa kusikikiza kesi hiyo kwa kuwa haikuwa na uwezo wa kuisikiliza kesi hiyo (haikuwa na mamlaka ya kisheria kusijikiza kesi hiyo)

Pia,kama Tanzania (ccm) walimshinda Steyn basi walipaswa kumdai fidia (compensation) kumbuka hiyo ni ndege ya biashara na ilizuiliwa kwa muda wa miezi miwili,mbona Watanzania (ccm) hawakudai fidia?

Steyn anawadai mjitahidi mumlipe kama mmetunza fedha kwaajili ya kununulia madiwani basi mpeni Mzungu wa watu fedha zake!
 
Huna akili. Hivi unadhani wao wajinga wakamate ndege ambayo iko yatengenezwa?
Wana info ndio maana

Umesahau Dreamliner mpya walitangaza inakuja afu baadae wakasema wakiotangaza wakamatwe?

Ni haki yako kueleza kiwango cha akili za mwingine. Jikite kwenye mchango.
 
Umeshaambiwa watengenezaji pekee wa ndege sio wao tu, usidharau nchi kwa udogo wake, leo hii waambie wamarekani kwamba tunasitisha uagizaji wa mitumba toka kwao uone watakavyochanganyikiwa, ndio utaijua nguvu ya buku kama biko, japo ndogo.
Wewe ni mwehu hauna akili punga muuza biriani
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom