AIR BUS NYINGINE KESHO 11.1.19

Kwa hiyo nanii anaenda tena kuipokea na kupiga madongo?
..so hiyo itakuwa ya ngapi kuingia Africa?
Na je kuna nchi nyingine zinamiliki aina hiyo hapa Africa?
 
NASIKIA KUNA DEGE LINGINE LINABEBA MBUZI KWENDA UARABUNI[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kwa hiyo nanii anaenda tena kuipokea na kupiga madongo?
..so hiyo itakuwa ya ngapi kuingia Africa?
Na je kuna nchi nyingine zinamiliki aina hiyo hapa Africa?
1.Yaah kama kawa mzee mbishi madongo mwanzo mwisho.
2.Ya pili
3.Kwa sasa ni ATCL pekee,ila Egypt air nao wameagiza kiwandani,lkn bado hazijafika.
 
Mi sisemi kitu mpaka waje Zitto na Lissu kutudanganya otherwise, tumewazoea kwa habari zao za upotoshaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…