Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,579
- 161,430
AINA ZA HUSBAND
1. Bachelor Husband - Huyu hajali
familia yeye na marafiki na
kushinda nje ya nyumba yake
2. Acidic Husband - Huyu ni mkali
kwa kila jambo hata jambo liwe
dogo vipi ni kuwaka kwa kwenda
mbele
3. Slave Husband - Huyu anataka
umnyenyekee kama mfalme yaana
ni kama Mungu mtu
4. General Husband - Huyu ni
kiwembe aka anawanawake wengi
kupita maelezo
5. Dry Husband - Huyu ni mchoyo
akitoa pesa ya matumizi anataka
kujua hadi shilingi moja
imetumikaje
6. Asprin Husband - Huyu anataka
shida zake zote mkewe ndo
azitatue hata kama yeye mwenyewe
ana uwezo
7. Parasite Husband - Huyu ni
tegemezi aka Marioo
8. Baby Husband - Huyu hana
maamuzi binafsi uamuzi wake
hupewa na wazazi ndo aje afanye
maamuzi kwa mkewe
9. Visiting Husband - Huyu hataki
kujua familia imeshindaje, inaishije,
wanakulaje kulala nje kama kawa
hata siku tatu
10. Caring Husband - Huyu ni
mwenye kujali familia na kuitunza
kwa kila jambo
WW uPO KUNDI LIPI??
1. Bachelor Husband - Huyu hajali
familia yeye na marafiki na
kushinda nje ya nyumba yake
2. Acidic Husband - Huyu ni mkali
kwa kila jambo hata jambo liwe
dogo vipi ni kuwaka kwa kwenda
mbele
3. Slave Husband - Huyu anataka
umnyenyekee kama mfalme yaana
ni kama Mungu mtu
4. General Husband - Huyu ni
kiwembe aka anawanawake wengi
kupita maelezo
5. Dry Husband - Huyu ni mchoyo
akitoa pesa ya matumizi anataka
kujua hadi shilingi moja
imetumikaje
6. Asprin Husband - Huyu anataka
shida zake zote mkewe ndo
azitatue hata kama yeye mwenyewe
ana uwezo
7. Parasite Husband - Huyu ni
tegemezi aka Marioo
8. Baby Husband - Huyu hana
maamuzi binafsi uamuzi wake
hupewa na wazazi ndo aje afanye
maamuzi kwa mkewe
9. Visiting Husband - Huyu hataki
kujua familia imeshindaje, inaishije,
wanakulaje kulala nje kama kawa
hata siku tatu
10. Caring Husband - Huyu ni
mwenye kujali familia na kuitunza
kwa kila jambo
WW uPO KUNDI LIPI??