Namba 2,3,4 ni kama aina moja ya wauaji.
ila inabidi tuonge AFRICAN SILENCE KILLER,or BLACK SMILE KILLER-hawa ni wauaji wanaoua kwa njia ya kichawi,wakimtumia mtu majini au uchawi.
wauaji hawa mara nyingi huwa ni watu wanaoonekana wastarabu na mauaji yao huanzi nyakati za usiku