Aina za wanawake wa kuishi nao kwa akili na umakini mkubwa sana

Mboka man

JF-Expert Member
Aug 22, 2020
478
1,638
1.Mwanamke ambae katika mahusiano anataka yeye awe ndio final say.

2.Mwanamke anajali mambo yake kuliko uhusiano wake na wewe.

3.Mwanamke ambae akiwa nacho ni mgumu kukusaidia hata kidogo.

4.Mwanamke ambae ukitetereka kidogo kwenye maswala ya hela penzi lake kwako linaanza kupungua speedi.

5.Mwanamke huwa unajitahidi kumwonyesha unampenda na unamjali kwa kitu kidogo unachokipata lakini yeye bado tuu.

HAYA MNAWEZA KUENDELEA
 
Kwenye Maisha...KILA mtu ajiweke yeye mwenyewe kama kipaumbele za Kwanza...alafu mpnz awe WAPILI....

Jiangalia wewe kwanza...Maisha yako, Mafanikio yako...mental wealthnes yako...furaha yako na Amani yako...

Sasa ukisema Maisha yako yoote ukimkabidhi mtu...yaani furaha yako, Amani yako..KAZI yako pesa zako... Mafanikio yako....You might loose alot
 
Kwenye Maisha...KILA mtu ajiweke yeye mwenyewe Kama kipaumbele za Kwanza...alafu mpnz awe WAPILI....

Jiangalia wewe kwanza...Maisha yako, Mafanikio yako...mental wealthnes yako...furaha yako na Amani yako...

Sasa ukisema Maisha yako yoote ukimkabidhi mtu...yaani furaha yako, Amani yako..KAZI yako pesa zako... Mafanikio yako....You might loose alot
Nilikuwa najiuliza hii ID ni ya nani. Ila kwa huu mwandiko nimeshakujuaaaa
 
Kuna wale wanawake ambao wana PhD ya kufake upendo, heshima na uaminifu wakati deep inside HAWAPO HIVYO.

Huyu ndo mwanamke ambae usipotumia akili ndefu na machale utakufa kibudu
 
Nilikuwa najiuliza hii ID ni ya nani. Ila kwa huu mwandiko nimeshakujuaaaa
.... Umetisha my dear
Utakua msomaji Mzuri was comment ZANGU...Hadi muandiko Wangu umeshaujua....

Upo vizuri Sana...ntakununulia chopping board
 
1.Mwanamke ambae katika mahusiano anataka yeye awe ndio final say.

2.Mwanamke anajali mambo yake kuliko uhusiano wake na wewe.

3.Mwanamke ambae akiwa nacho ni mgumu kukusaidia hata kidogo.

4.Mwanamke ambae ukitetereka kidogo kwenye maswala ya hela penzi lake kwako linaanza kupungua speedi.

5.Mwanamke huwa unajitahidi kumwonyesha unampenda na unamjali kwa kitu kidogo unachokipata lakini yeye bado tuu.

HAYA MNAWEZA KUENDELEA
Nasema hiviiiii yeyote yule ishi nae kwa akili. Mwanamke mwanamke tu, hata ukimkuta peponi usiache akili pembeni tafadhali.
 
Kwenye Maisha...KILA mtu ajiweke yeye mwenyewe kama kipaumbele za Kwanza...alafu mpnz awe WAPILI....

Jiangalia wewe kwanza...Maisha yako, Mafanikio yako...mental wealthnes yako...furaha yako na Amani yako...

Sasa ukisema Maisha yako yoote ukimkabidhi mtu...yaani furaha yako, Amani yako..KAZI yako pesa zako... Mafanikio yako....You might loose alot
Not a lot.... but All
 
Back
Top Bottom