Basi acha niendelee na ishu zangu tu, maombi haya sifanyi. Sasa kupigwa miti na kutekenywa papuchi ndio kubembelezwa?.
Haya yote yako ndani ya uwezo wako hakuna haja ya kumsumbua Mungu ana mambo mengi
Basi acha niendelee na ishu zangu tu, maombi haya sifanyi. Sasa kupigwa miti na kutekenywa papuchi ndio kubembelezwa?.
Haya yote yako ndani ya uwezo wako hakuna haja ya kumsumbua Mungu ana mambo mengi
Inategemea!
Unamsoma mtu kwamba huyu sasa hivi anahitaji maneno mazuri nijishushe
Huyu sasa hivi nimpe misosi mizuri
Huyu hiki kisirani bila kupigwa miti hakiishi hivyo inabidi nimnyooshe
Unatakiwa umsome ili usichanganye mambo, kubembeleza ni kipaji sio kila mtu anacho
Na hao wenye vipaji mimi ndio nawataka🤸
Itabid ufanye tour kwenda korea. Bongo hii bado sana watu wanapambana na uchumi wa kati, sasa hiz majukumu za kujitafutia wengi sidhan kama wana muda huo
Kwani sie hatuwajui nyie!?
Naijua hiyooo!
Unasema ni duah kumbe kadhwi na mahrim wameshaandaliwa na ubani makkah umekwishawekwa.
Ukijichanganya kitu kizito hikoo na mke unabeba.
Niliiona Bububu skuli hii kitu😂😂😂🙆🏿♂️🙆🏿♂️
Itabid ufanye tour kwenda korea. Bongo hii bado sana watu wanapambana na uchumi wa kati, sasa hiz majukumu za kujitafutia wengi sidhan kama wana muda huo