Acha bangi,unataka kila mtu aandike kukuridhisha ww?? Me nna umri sawa na baba yako. Jenga tabia ya kuheshimu watu wote bila kujali tofauti zao. Hili ni jukwaa huru,kila mtu anapost kile alichonacho na si lazima uchangie. Ukiona pumba we pita pembeni!Shule si mmeshafungua huku JF mnaingiaje?
Mdogo mdogoAcha bangi,unataka kila mtu aandike kukuridhisha ww?? Me nna umri sawa na baba yako. Jenga tabia ya kuheshimu watu wote bila kujali tofauti zao. Hili ni jukwaa huru,kila mtu anapost kile alichonacho na si lazima uchangie. Ukiona pumba we pita pembeni!
Shule si mmeshafungua huku JF mnaingiaje?
Poa mkuu,nilikuwa najaribu kumpa ukweli huyu dogo. Hapa jukwaani huwezi kuridhishwa na thread zote. Na member hawawezi kuandika mambo serious muda wote,km jukwaa lingekuwa hivyo sidhani km lingevutia wengi. Kinachovutia jukwaa ni kwa sababu kila kitu kinaandikwa. Na km kilichoandikwa kipo nje na utaratibu mods huwa wanaondoa. Tukubaliane kwamba tumeumbwa na tofauti za mitizamo,mawazo,maamuzi,sura nk. Lazima tuvumiliane.Mdogo mdogo
Tunaishi na watu wa kaliba tofauti ila wengine wetu huwa ni watu wa kushangaza mno kwakuwa hapa zaidi ya kuelimishana lakini pia tunaburudishanaPoa mkuu,nilikuwa najaribu kumpa ukweli huyu dogo. Hapa jukwaani huwezi kuridhishwa na thread zote. Na member hawawezi kuandika mambo serious muda wote,km jukwaa lingekuwa hivyo sidhani km lingevutia wengi. Kinachovutia jukwaa ni kwa sababu kila kitu kinaandikwa. Na km kilichoandikwa kipo nje na utaratibu mods huwa wanaondoa. Tukubaliane kwamba tumeumbwa na tofauti za mitizamo,mawazo,maamuzi,sura nk. Lazima tuvumiliane.