Aina za uzuri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Aina za uzuri

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by GODLIVER CHARLE, Mar 8, 2011.

 1. GODLIVER CHARLE

  GODLIVER CHARLE Member

  #1
  Mar 8, 2011
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 86
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  KWA UCHUNGUZI WANGU TUNAPOONGELEA WASICHANA WAZURI; KUNA UZURI WA AINA MBILI:-
  1. UZURI WA MUONEKANO (KWA MFANO UTASIKIA WATU WAKISEMA "JAMANI YULE DADA AMEUMBIKA!! YAANI KWA KWELI MUNGU ALIKUWA AMETULIA WAKATI ANAMUUMBA YULE DADA AU YULE DADA ANA SURA NZURI!! KWA KWELI ASIYEJUA KIZURI BASI SI MZURI YEYE N.K. N.K.")

  2. UZURI WA TABIA. HUU NI MBALI NA MUONEKANO WA SURA NA UMBO. (MFANO UTASIKIA " JAMANI YULE DADA ANA TABIA NZURI, ANAJIHESHIMU, YAANI MANENO NA MAVAZI YAKE KWA KWELI...")

  LAKINI MIMI NINGEPENDA KWA LEO NIONGELEE KIDOGO TU AINA YA 1. YA UZURI. KWA UPANDE WANGU NAWAGAWA WADADA WOTE KATIKA MAKUNDI/MADARAJA MATATU:-
  (a) WAZURI WA KAWAIDA
  (b) WAZURI
  (c) WAZURI SANA

  PIA KATIKA MAKUNDI/MADARAJA HAYA NAPENDA KWA LEO NIGUSIE TU AINA (c). WADADA WA DARAJA HILI NI WAZURI SANA KWA SURA, UMBO NA KWAMBA KILA MWANAMUME ASIYE NA HOFU YA MUNGU ANGETAMANI SANA KUWA NA WADADA WA AINA HII NA MARA NYINGI KILA WALIPOPITA WANAUME HAWAKUSITA KUWAANGALIA NA HATA WENGI WAO WAMEJIKUTA WAKIWATOKEA NA KUWATONGOZA WADADA HAWA.

  NA WADADA HAWA WAMEKUWA NI WAZOEFU SANA NA WANAUME NA UKIKUTANA NA WADADA AMBAO HAWANA HOFU YA MUNGU BASI UTASHANGAA KUONA KWAMBA MDADA MDOGO TU BUT AMESHAKUTANA KIMWILI NA WANAUME KIBAO. AIDHA KWA KUACHWA NA WAPENZI WAO AU WENYEWE KUWAACHA WAPENZI WAO WALIOWAPENDA KWA DHATI. Kwa nini? HAWA WAMEKUWA WAKIRINGA SABABU YA KWAMBA WAO NI WAZUZI NA KWAMBA HATA AKIACHWA AU KUACHA ATAKUTANA NA MWANAMUME MWINGINE kwa sababu tu eti yeye ni mzuri na kwamba wanaume wengi huwa wanamshobokea.

  WADADA HAWA KASORO YAO KUBWA NI HII "HUWA WANAFANYA MAAMUZI YAO MENGI AU YOTE (HASA YA MAHUSIANO) KWA KUANGALIA UZURI WAKE.(MAKING DECISION IN BEAUTIFUL PERSPECTIVES). HII NDIO KASORO YAO KUBWA NA NYINGINE NI KWAMBA AKIWA NI BINTI ASIYE NA HOFU YA MUNGU BASI ANAKUWA SIO MWAMINIFU HATA KIDOGO.

  ANGALIZO KWA WANAUME WANAOPENDA WADADA WA NAMNA HII HAKIKISHENI MNAMSHIRIKISHA MUNGU KUMPATA MWENZA MWENYE HOFU YA MUNGU VINGINEVYO MAJUTO SI KITU CHA KUULIZA.


  REMEMBER: THE DECISIONS YOU MAKE TODAY HAVE DIRECT IMPACT ON YOUR FUTURE LIVES BOTH FLESH AND SPIRITUAL LIVES. TAKE GOOD CARE OF YOURSELF AND THINK CAREFUL BEFORE YOU ACT UPON YOUR DECISIONS.


  WANA JF NAOMBA MAONI YENU KATIKA HILI MNIDADAVUE NIPATE MTAZAMO WENU NEXT TIME I WILL TALK ABOUT THE OTHER REMAINED.
   
 2. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #2
  Mar 8, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  jamini mbona ni kama nimeona hii thread mara mbili..
  ni ma ruwe ruwe au ni kweli ??
   
 3. NILHAM RASHED

  NILHAM RASHED JF-Expert Member

  #3
  Mar 8, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hehehehh ni mzuri.....2,,,mzuri sana.....3,,, mzuri kawaida...
   
 4. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #4
  Mar 8, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Hahahha lol
  nasubiria part two
  Ya hii thread
  Sijui title itakuwa nini dear lol
   
 5. NILHAM RASHED

  NILHAM RASHED JF-Expert Member

  #5
  Mar 8, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hehe itakuwa tabia nzuri na tabia ya kawaida na tabia mbaya..
   
 6. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #6
  Mar 8, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Hahaha lol
  tumetoka kwenye sura
  Tanaingia kwenye tabia
  kitakacho fuatia ni thamani
  hapo ndo ambapo nitakapo jitoa..
   
 7. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #7
  Mar 8, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  kweli. Halafu zina tittles tofauti.
  Sijui lengo lake nini.
   
 8. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #8
  Mar 8, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Oooohhhh dear
  labda moja ya vijana
  Na nyingine ni ya kina dada lol
   
 9. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #9
  Mar 8, 2011
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  uzuri uzuri uzuri!then wat nxt?kiongozi mbona umezianzisha sana leo umeachwa nini?
   
 10. birungi

  birungi JF-Expert Member

  #10
  Mar 8, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 388
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  haya sie wadada yetu macho, angalieni angalieni wazuri sie twaangalia usmart wako.
  kuanzia muonekano wako maongezi yako kazi yako,''how smart you are''
   
 11. deom2i

  deom2i Member

  #11
  Mar 8, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Binafsi naangalia
  1.tabia
  2. uzuri wa umbo na sura!!

  siku hizi mambo mengi, wanawake wanabeba mizigo kutolingana na tonne zao.....ndio sasa kuchoka alafu anatako aolewe!!! hehehe!
   
 12. LD

  LD JF-Expert Member

  #12
  Mar 8, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Haya uzuriiiiiiiiiiiiii, hivi nitajua je kama mimi ni mzuri A au mzuri B au mzuri C.
   
Loading...