Aina za simu...Ushauri

Aina za simu...Ushauri

Wilbert1974

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2011
Posts
1,632
Reaction score
481
Saluti wakuu wa JF wote!
Kuuliza si ujinga naomba kujuzwa kuhusu ulimwengu wa simu za mkononi aina anuai. Mara kwa mara ninasikia kuna kundi ANDROID na mengine...
Itapendeza ukinijuza kwa picha zake; ubora; faida yake na shida zake na si mbaya bei zake wastani...
Siku njema!
 
Saluti wakuu wa JF wote!
Kuuliza si ujinga naomba kujuzwa kuhusu ulimwengu wa simu za mkononi aina anuai. Mara kwa mara ninasikia kuna kundi ANDROID na mengine...
Itapendeza ukinijuza kwa picha zake; ubora; faida yake na shida zake na si mbaya bei zake wastani...
Siku njema!

Unajua ndugu yangu katika manunuzi ya simu katika zama hizi inategemea na matumizi yako.
Ila nitajaribu kueleza faida kiasi fulani na hasara ya simu za aina mbili

Windows Phone 8
Adroid
Kama wewe ni mtu ambaye hauko busy sana na unastress kwenye kicha chako ningekushauri ununue simu zinazotumia Adroid (Samsung, HTC nk)
Unajua ni kwa sababu kwamba Adroid ipo na apps nyingi, unaweza ukadawnload na ukarefresh akili zako. kunagame zipo nyingi tu online na most of them ziko free.

Lakini tatizo la android zinabadilika kila wakati, na kadri unavyo zidi kuitumia inakuwa Slow halafu hazi tunzi sana charge. Halafu mambo mengi ya Android ni open source.



Kama wewe ni mtu ambae uko busy na issue zako ningependa kukushauri ununue simu zinazotumia Windows Phone 8
1. Unaweza ukabenefit na application za microsoft outlook kwajili ya email. Popote ulipo inaintergrate email zako zote kenye simu.
2. Mifile ya offsini unaweza ukaitegrate na simu yako. Kokote ulipo unaweza kuka pata mafile yako.
3. Halafu uzuri wa Windows Phone ikofaster sana zaidi ya Adroid haitumii charge kiasi kikubwa
4. Contacts zako zote ziko grouped (Skype, Facebook, Emails Phone no nk unazipata moja kwa moja kwenye simu yako)

Tatizo la Windows Phone 8 bado haijawa na apps nyingi lakini zile za muhimu zipo (MS Word, MS excel, MS Power point) na zingine unaweza download.
 
Back
Top Bottom