Aina za Ndoa

Bazazi

JF-Expert Member
Aug 18, 2008
2,806
3,476
Nijuavyo mie kuna aina tatu (3) za ndoa/mahusiano ya kingono kati ya viumbe vya jinsi ya KIKE na KIUME. Aina hizo ni; 1: Monogamy The practice of being married to or having a sexual relationship with only one person at a time (ni kitendo cha kuwa na mpenzi/mwenza mmoja kwa wakati) Aina hii ya uhusiano tunaiona mara nyingi kati ya baadhi ya wanyama na ndege mfano njiwa na dikdik. 2: Polygamy The practice or custom of having more than one wife or husband at the same time (ni kitendo cha kuwa na zaidi ya mke au mume kwa wakati mmoja) Aina hii imegawanyika ktk sehemu kuu mbili ambazo ni; I) Polygyny Polygamy in which a man has more than one wife (Ni mitala ya mme mmoja na wake kibao) Aina hii ya mahusiano tunaiona ktk viumbe wengi sana mfano swala (kwa wastani dume moja huhudumia majike 99). II) Polyandry Polygamy in which a woman has more than one husband (Ni mitala ya mke mmoja na waume kibao kwa wakati mmoja) Hii ni aina ambayo viumbe wachache sana wanaifanya. Kwa ufahamu wangu mdogo ni jamii moja tu ya ndege wanaopatikana Latin America ndio wanayo. 3: Promiscutuity Having or characterized by many transient sexual relationships. Aina hii ya mahusiano wanaifanya zaidi Simba. Aidha hata wototo wao hunyonya kwa kila mama aliyepo kundini. Tatizo langu ni kuwa kwa maisha tunayoishi siku hizi wanadamu aina hii ya mwisho ndiyo tuifanyayo. Anayebisha alete hoja.
 
Back
Top Bottom