Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,332
- 72,655
Kwangu ni Ubahili kwa kwenda mbele
Usijiongopee mkuu hao ni mizinga yao inafanana na ile ya N.korea.sasa unatonhoza demu asiyekua na kazi yoyote anashinda watsap,Facebook na instagram,unategemea nini kama sio kuombwa pesa hovyo tu..tongozeni mademu wanaojishughulisha hata kama ni mama ntilie

am talking through experience,nishadate na mademu wa aina zote hao...hawa wasiokua na kazi wanaoshinda instagram wana njaa kali sana,imagine mtu anakuomba mpaka eti pesa ya kununulia ped,mwingine anakosa hata buku ya nauli ya kuja kukutembelea gheto na yenyewe eti mpaka umtumie..but demu anaejishughulisha hata kama itatokea kakwama kwenye mambo yake..basi atakuambia baby niongezee kiasi kadhaa nimekwama kwenye shughuli flani, hata we mwenyewe inakua haikuumi kiivo.Usijiongopee mkuu hao ni mizinga yao inafanana na ile ya N.korea.