Aina Ya Watu Waliopo Jf...

TADPOLE

JF-Expert Member
Nov 18, 2015
2,843
9,278
wakuu habari zenu,kutokana na utafiti wangu humu jf nimegundua jf kuna aina nyingi tu za watu katika majukwaa mbalimbali.Aina Hizi Ni Kutokana Na Jinsi Ushiriki Wao Yaan Wanashiriki Kwa Namna Gani Humu Jf...Nazo Ni
1.Wajuzi Wa Mambo-yaan Watu Hawa Ukiwatag Tu Kama Kuna Jambo Linakusumbua Waite Tu Utaelewa Hadi Mengine Yasiyoulizwa.Kiufupi Ni Watu Muhimu Sana Watu Hao Ni Kama Pasco,msezamkulu,mshana Jr,kaboom N.K
2.Changamsha Genge-hawa Ni Wale Wanajf Ambao Ukiona Tu Kichwa Cha Thread Unaanza Kuvutiwa Uone Kilichopo Ndani.Watv Hao Ni Kama Lara1,general Galadudu,vampire_hunter N.K Yaan Stori Zao Huwa Hazichoshi.
3.Wachangiaji Kuntu-yaan Hawa Huwa Mara Chache Sana Wanaanzishaga Thread Lakini Michango Yao Ni Kuntu,watu Kama Nifah,heaven Sent,everlin Salt,boss Ni Mifano Tu Midogo
4.Fast Likers-hawa Si Wachoyo Wa Like Wapo Fasta Sana Nao Ni Mzizi Mkavu,heaven Sent,kaboom,benny N.K
5.Vilaza-hawa Ni Wale Ambao Hawajielewi Lakini Kwa Majina Nawahifadhi Yan Hawa Kazi Yao Ni Kuvuruga Kauli Utasikia Weka Picha Vilaza Tu
 
Nimegonga like hapoo juu so nipo kundi moja na kina mzizimkavu kina Kaboom na wengine
 
Namkosa sana Lara1 yupo kweli?
 
Back
Top Bottom