Aina ya movie unazopenda ndiyo tabia yako ilivyo

Jimmy George

JF-Expert Member
Nov 28, 2016
1,733
1,648
Habari wana JF

Nimejaribu kufuatilia na nikagundua kuwa aina ya movie unazozipenda ndivyo tabia yako ilivyo. Maana unapofuatilia zile movie kuna vitu unachukua na kufanya kwenye maisha halisi. Hii ni mifano michache niliyogundua;

1.WANAOPENDA MOVIE ZA KIHINDI
★Huwa na mapenzi ya kweli
★Hupenda sana visasi

2.WANAOPENDA MOVIE ZA KIZUNGU
★Huwa hawatulii na mpenzi mmoja
★Hupenda ugomvi
★Hujiona wanajua kila kitu


3. WANAOPENDA MOVIE ZA KIKOREA
★Huwa na mapenzi ya kweli
★Hupenda kuishi maisha ya kuwa viongozi au watoto wa viongozi


4.WANAOPENDA MOVIE ZA KUTISHA
★Hupenda wawe na nguvu za ziada
★Huwa na mawazo ya kusadikika au huwaza mambo yasiyokuwepo


5. WANAOPENDA MOVIE ZA KIBONGO
★Ni waongo
★Hupenda kuigiza maisha yasiyokuwa yao


Karibuni tujadili kama nawe unaamini hivyo au una maoni tofauti
 
Back
Top Bottom