Yaani ni mfano halisi wa wapenda mabadilikoIla Lissu kapitia mengi
1. Kalimwa risasi
2. Kafukuzwa ubunge
3. Kazishiwa kesi ya uhaini ili wamnyonge.
Kuna utofauti mdogo sana kati ya JPM na LISSU katika maamuzi.Ila Lissu kapitia mengi
1. Kalimwa risasi
2. Kafukuzwa ubunge
3. Kazishiwa kesi ya uhaini ili wamnyonge.
Kuna utofauti mdogo sana kati ya JPM na LISSU katika maamuzi.
Kwa vichwa vya WATANZANIA Wenda atatufaa katika maamuzi.
Kwa ujasiri alionao Lissu nina mashaka kama ni Mtanzania.
Watanzania sifa yetu kubwa ni kupuuza na kuridhika hata kama tunapitia madhila.
Heche, Lema ,makamo wa katibu mkuu na mnyika ,wooooote viongozi wa sasa CDMUkiondoa LISSU nani mwingine kama yeye?
Labda nasema Labda Heche.Heche, Lema ,makamo wa katibu mkuu na mnyika ,wooooote viongozi wa sasa CDM
Wezi watakimbia nchi Lissu nae ni DIKTETA sifa moja wapo ya dikteta Muumini wanataka watawale Mijadala kwenye dibeiti yoyote Lissu anayo hiyo sifa. Nukuu Wewe ni mwanasheria wa wapi? Anaulizwa balozi Masilingi Lugha fulani za buying mtu Lissu ni Magufuli aliechangamka maana yeye Muumini wa Sheria alafu anasoma sana Vitabu Lisuu ni kama Kagame kwenye kusomaKuna utofauti mdogo sana kati ya JPM na LISSU katika maamuzi.
Kwa vichwa vya WATANZANIA Wenda atatufaa katika maamuzi.
Yaani kiuhalisia kama kila kitu kingesimamiwa kwa haki huyu ndiye ilibidi awe Rais,lakini watu wapo wanataka waongozwe na kikundu fulani ambacho hakikubaliki na watu ila tu kinasapotiwa na mihimili ya inchiWezi watakimbia nchi Lissu nae ni DIKTETA sifa moja wapo ya dikteta Muumini wanataka watawale Mijadala kwenye dibeiti yoyote Lissu anayo hiyo sifa. Nukuu Wewe ni mwanasheria wa wapi? Anaulizwa balozi Masilingi Lugha fulani za buying mtu Lissu ni Magufuli aliechangamka maana yeye Muumini wa Sheria alafu anasoma sana Vitabu Lisuu ni kama Kagame kwenye kusoma
Lissu hayuko kwenye Cyle ya watoto wa mjini. Si umeona wamekuja nduki kuwaka katiba ya Chama imevunjwa katiba ya Chama Muhimu kuzidi ya Jamuhuri. Polepole nae ni wale wale mzee hii nchi mpaka siku wakiamka Mama wanaumuonea tu Achukue zake mitano ikiwekana akae milele kwenye Urais amuachie Lissu na Lissu aende zake Belgium atulie zakeYaani kiuhalisia kama kila kitu kingesimamiwa kwa haki huyu ndiye ilibidi awe Rais,lakini watu wapo wanataka waongozwe na kikundu fulani ambacho hakikubaliki na watu ila tu kinasapotiwa na mihimili ya inchi