Aina ya 3 kuu ya sumu za nyoka

Aina ya 3 kuu ya sumu za nyoka

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
10,884
Reaction score
18,824
Kuna aina kuu tatu za sumu za nyoka. Kila moja huwa na matibabu yake na hupatikana kwa aina fulani za nyoka. Ndiyo maana mtu akiumwa na nyoka hushauriwa kufahamu nyoka aliyemuuma ili kujua aina ya sumu iliyomuingia na matibabu yake.

1. Neurotoxin. Hii ni sumu anbayo inaathiri mishipa ya fahamu na kumfanya mtu apalalayse. Mwisho anashindwa kupumua na kufa. Mfano wa nyoka mwenye sumu hii ni koboko.
2-768x511.jpg


2. Cytotoxin. Hii ni sumu ambayo huua seli za mwili na kusababisha sehemu iliyoathirika kuoza. Mfano wa nyoka wenye sumu hii ni kifutu.
images (2).jpeg


3. Hematotoxin. Sumu hii huathiri damu na kuifanya ishindwe kuganda. Matokeo yake mtu anaanza kuvuja damu sehemu mbalimbali za mwili. Mfano wa nyoka mwenye sumu hii ni boomeslang.
images (3).jpeg
 
Sawa. Na kwa kujazia tu watafiti wanasema only 2% of snakes are venomous.
Hivyo hii ni baraka kutoka kwa muumba maana otherwise ingekua disaster.
 
Back
Top Bottom