Aina tofauti za Wanawake

Aina tofauti za Wanawake

upo sawa mkuu lakini tukumbuke kuwa wanawake ni waigizaji sana,hivyo anakuangalia wewe ni mwanaume wa aina gani kisha anaamua acheze vipi na wewe,maisha yao ni sanaa
 
upo sawa mkuu lakini tukumbuke kuwa wanawake ni waigizaji sana,hivyo anakuangalia wewe ni mwanaume wa aina gani kisha anaamua acheze vipi na wewe,maisha yao ni sanaa

ni kweli mkuu,ila ukiob step umeliwa
 
Kila mwanamke anafaa kuolewa bwana

Sio kweli kuna mbao wameumbwa kufurahisha dunia, hawa hata majuu wapo, huwa hawana dhambi kabisaa kwani si wanyimivu hila fedha yako tu, wako wengine kazi yao wanajigaragaza tajiri linaweka chakula juu yake mpaka linamaliza msosi tajiri akiridhika anapewa tip yeye analipwa na hotel kama mshahara
 
Hilo kundi la tatu usije jidanganya kumiliki demu utakufa kwa presha kila m2 anajaribu bahati yake ni full presha
 
Uhakika ungekuwepo sawa...sio ninyi kila siku mnapiga makelele hum eti si mahusiano yote yanapelekea ndoa....tusifikirie ndoa tunapoingia kwenye mahusiano...viumbe ninyi hamtabiriki....leo wa bluu kesho wa kijani...pliiz mtuwache tulale

Wanaume wenyewe tushakuwa wajanja saiv hatuhongi kizembe ivo... bata utakula ntakutumia... thn nakubwaga naenda oa wa kundi la kwanza
 
Hilo kundi la tatu usije jidanganya kumiliki demu utakufa kwa presha kila m2 anajaribu bahati yake ni full presha

mkuu hili halitofautiani sana na kundi la kwanza,tofauti ni kwamba kundi hili halina gharama kama kundi la kwanza.ukitaka kumiliki kundi hili utajifia mwenyewe.utawezaje miliki kiti cha daladala?
 
Mleta mada kazi nzuri, tunaomba na makundi ya wanaume basi!
 
Kumbuka kuna na wanaume wanaofanana na makundi hayo.
 
Back
Top Bottom