Aina tofauti za Wanawake

Aina tofauti za Wanawake

kitoromoni

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2014
Posts
424
Reaction score
210
Naamini wapo wanawake wa aina nyingi duniani lakini makundi haya matatu ndiyo yanajumuisha wengi wao:

1. Wanaofaa kuolewa: hawa huwa smart upstairs.a.ka akili.(haijalishi ni mrembo wa sura na figure au la),ukiwa nao watakushauri namna ya kujenga future,wako serious na maisha na muda wote wataelekeza nguvu zao kufikiria zaidi maisha ya baadae kuliko ya sasa.wanaweza kuvumilia wasivae nguo mpya siku ya sikukuu ili mradi tu malengo flani waliyojiwekea yatimie.wako radhi kupotezea salon na anasa zisizokuwa na msingi ili kusudi kutimiza wanachokitaka,wakijua kwamba baada ya kutimiza lengo,mfano kujenga au kununua kitu chochote cha thamani basi watarudi katika hali yao ya kianasa but wakati huo huo malengo yao yalishatimia.

2.Wanaofaa kula nao bata:kundi hili kwa lugha rahisi tunawza kuliita kundi la kifo,lina wanawake wengi sana,warembo na wanavutia sana.kundi hili linafuata harufu ya pesa,utadhani wana nyota ya kuchuna.yaani kwa ufupi wao ni mtu kitu.atakuita majina yote ukiwa nae,baby,darling,sweetheart sijui sweet mtima name them,atataka mtoke outings za nguvu na wanapenda vitu vya gharama sana.kila fashion ya kitu atakitaka.katika outings 10 ambazo umetoka nae kwa miezi sita(hii ni kwa uchache sana),utajikuta umetumia roughly milioni mbili.anajua umetumia pesa but hata siku moja hawezi kukwambia baby kwa miezi hii sita tusitoke,hiyo hela ya mitoko tujichange tukanunua kiwanja cha maana huko bagamoyo,kisarawe au mvuti.mbaya zaidi wakati uko nae anategeea muwe mnatumia pesa vilivyo huku akitegemea ufanye maendeleo.hawa huwa na zaidi ya mwanamme mmoja

3. Wa kupunguzia ugwadu: kundi hili lina wale wanawake hoe hae(situkani wala kudhalilisha),yaani wanawake wanaoonekana wana hadi ya chini.wenye kipato kidogo na wasio na maisha makubwa.mfano,wafanya usafi wa maofisini,ma house girls,wauza magenge etc.kundi hili ndiyo kundi linaloonewa sana,yaani kama mwanamme anashida zake haitaji kutongoza,ni kumuonyesha tu buku tano au kumi basi na kwenda kupunguza shida zake(ugwadu).kundi hili kila mtu anaingia muda wowote na wakati wowote na wanaweza kuwapa hata wanamme kumi kwa wakati mmoja na msiwe na wivu na wala yeye aiwe na wivu na ninyi coz anajua fika kabisa kuwa umemfata kwa sababu unahitaji "ndudu" na sio mapenzi.huwa wako simpo na haijalishi nani anawafuata,kijana,mzee,mtoto etc.

Naomba radhi kama nitakuwa nimemkera yeyote.

hamba kahle tata nyerere
 
Asee ntakushaur kujenga nyumba ikiwa nakuona una features za husband material
 
I like how u categories them
 
Yani nikushauri kujenga nyumba utakayokaa na mwanamke mwingine???? Leta hizo hela tule bata sie maisha yenyewe mafupi haya.

kazi ipo,kumbe nia yako siyo kuwa na mimi maishani?
 
Hii mada ngumu, kiukweli wanawake jinsi ulivyowatenga uko sahihi, lakini hawa wote umewaonea sana mama niwekee, imetaja maeneo yao halisi lakini wale wasio na ushauri hujataja, mfano, mamantilie, wauza mchicha, wauza matunda ukawaacha wasichana wa bongo movie, muziki, mashirika ya simu kama vodacom, wahudumu wa ndege na hotel kubwa.
 
ni kweli mkuu,niwie radhi,ni kweli kabisa kwa hilo sitatenda haki but nisaidie kuongeza hao niliowasahau
 
Yani nikushauri kujenga nyumba utakayokaa na mwanamke mwingine???? Leta hizo hela tule bata sie maisha yenyewe mafupi haya.

Umeonaeeee yaani umshauri anunue kiwanja ajenge halafu akaishi na mwanamke mwingine labda umshauri hicho kiwanja akununulie wewe
 
kweli kabisa na hiyo namba 1 ni ngumu sana siku hizi. Wadada wachache sana utawakuta kategory 1 ila 2 wako weng kweli
 
Jamani na makundi ya wanaume je? na wenyewe wamegawanyika
 
Umeonaeeee yaani umshauri anunue kiwanja ajenge halafu akaishi na mwanamke mwingine labda umshauri hicho kiwanja akununulie wewe

Hahahahaaa ukute ulihangaikia hata kutafuta dalali...ukaenda mwanamke na kiherehere chako hadi kukiangalia hicho kiwanja,ukabargain na bei na kuhakikisha imefikia pazuri ndo unaenda kumshirikisha babaa...hata kama hujatoa senti hiyo si shughuli ndogo atii....af anakuja kujenga nyumba anakaa mwingineee...hawana maana hata kidogo hawa watu......kama ananinunulia mie sawa tu na anunue
 
kazi ipo,kumbe nia yako siyo kuwa na mimi maishani?

Uhakika ungekuwepo sawa...sio ninyi kila siku mnapiga makelele hum eti si mahusiano yote yanapelekea ndoa....tusifikirie ndoa tunapoingia kwenye mahusiano...viumbe ninyi hamtabiriki....leo wa bluu kesho wa kijani...pliiz mtuwache tulale
 
Mwalimu angekuwepo jamii forum ingekua imeshafungiwa !! R.i.p baba wa taifa .....yanayojiri nyuma yako huku vijana wanawaza ngono tu muda wote
 
Back
Top Bottom